Habili ni nani? Je, anaishi Kawe kweli? Kuingilia mifumo ya ulinzi ya nchi mbona ni hatari kwa Taifa

Habili ni nani? Je, anaishi Kawe kweli? Kuingilia mifumo ya ulinzi ya nchi mbona ni hatari kwa Taifa

Alisema kawe
Wakati anaongea na msaidizi wa murilo
Kwa sababu alimuuliza unaishi wapi
Out of no where ndo ikabidi aangalie jina analokumbuka
Ila cha kushangaza abapiga international calls
Lakini inakua kama yupo nchin
Kwa sababu katika hiyo call huyo msaidiz wa murilo asingeuliza uko wapi
YES ,Teknolojia uko mbali sana kuna namna unaweza kufanya ukiwa nje lakini ikaonekana umepiga simu ndani ya nchi .Nimewahi kutaka kuibiwa kwa mtindo kama huu
 
Hii ni point kabisa
Mtu aliyeko nje ya mfumo ni ngumu mno
Aisee hii ni point kubwa
Nahisi ni inside job
Na mfumo umepasuka haswa ,jana niliingia kwenye group moja linaloongozwa na Gen -Z wajinga wako smart hadi nimeogopa ,jamaa group lao wamelitengeneza kijasusi sana, ni jukwaa la WhatsApp lakini wakishakuapprove tu taarifa zako zote kuanzia No , profile picture na taarifa zingine zote zinafichwa na ujumbe wowote utakaoutuma nilazima uwe filtered tena kwa speed ya jet .

Jamaa wanaonekana wapodeep sana kwenye technology.
 
Mkuu nisaidie namna ya kuingia kwenye hilo group please
 
Niliona siwezi shindana na teknolojia, kila siku mtandao mpya unaundwa, nikaishia kwenye insta tu.
Kwakua umechagua kutokuwa na tiktok bila shaka umri wako umesogea kiasi.

Tiktok ni mtandao uliofurika Generation Z. Under ideal condition wanakuwaga na utoto mwingi huko, ila wakiamua jambo lao wanaweza kuhamisha mlima. Ukifuatilia serikali nyingi zilizoangushwa hivi karibuni utaambiwa vuguvugu limeanzia Tiktok.
Kifupi lile taifa la kesho tuliloambiwa, lote liko tiktok. Unaweza kujiunga nao ukitaka. Hutokuwa na haja ya kuomba link😊
 
Daa Tanzania will never be the same again.

Uko TikTok Kuna jamaa anajiita Habi, huyu mtu ana kiswahili Fulani hivi Cha kimagaribi. Jamaa ana confidence hatari saana lakini pia anaonekana ana buck up si ya kitoto.

Mtu huyu anasema anaishi kawe-Dar es salaam, ametamba kuingilia mifumo ya ulinzi ya jeshi la Tanzania(TPDF),amemwaga data ambazo kimsingi ni 100% correct.

Ameapa jeshi likikanusha kuwa mifumo yake haijaingiliwa atamwaga data zote hadharani.

Mtu huyu anatuma ma barua na ushahidi wa kutisha kwenye tahasisi za kimataifa. Kuingilia National security System ni hatari Kwa usalama wa nchi. Amemwaga data alizodukua TPDF ukisikiliza unaweza tetemeka.

Mtu huyu atakuwa hatari na mwiba mchungu Kwa serikali kuliko kina Mange Kimambi.

Wengine wameanza kumuhusisha kuwa agent wa mojawapo wa strong intelligence Agency, duniani

Aione
CDF
CIC
IGP
Nawaza tu:

What if huyu naye ni kiini macho na pandikizi la wanamtandao ili kuwaonyesha watanzania kwamba watu wanaotaka kulivuruga taifa wanatoka nje ya nchi au wanaagizwa na kulipwa na mabepari?

Cc:
Vishu Mtata , ERoni ephen_
Niendelee kuwaza au niache ujinga?
 
Nimekuja harakaharaka nilidhani umemuona min
 
Back
Top Bottom