Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,339
- 6,666
Wachoma cd wa Tanzania na waingiza nyimbo kwenye flash hujiita hackers.
Polisi wababaishaji mtaani hapa DSM watu wanapigwa matukio wakienda police no request inafika mahali wanaachana nayo tuWaende tu polisi hamna namna😂😂😂
nAise mitandao ina ma cyber wazito you can't even try to enter in their system
Kwa ulicho andika na 🆔 yako vinaendana sema WhatsApp sio safe at least Telegram.I dont think jf ni right platform for that, atleast group la telegram, whatsapp and etc
Hata huko ndio wapo wa kutosha tena ma wanaweka kwenye cold state huwezi kuiba pesaNdo maana naona mnazingua.ingieni hata crdb choteni hela.
n
Language hii inauhusiano na chatu..Ndio
Hatari sana...Polisi wababaishaji mtaani hapa DSM watu wanapigwa matukio wakienda police no request inafika mahali wanaachana nayo tu
Telegram is the most safety social media everKwa ulicho andika na 🆔 yako vinaendana sema WhatsApp sio safe at least Telegram.
Poteza simu uone jinsi police wanavyo babaisha watuHatari sana...
Ngj niwachek nione kama Wana madini ya zaidiUkitaka kupata dondoo za kujilinda na hacking wacheki Sumsub youtube
Ndo nini hicho na mimi nianze kufanya sasa hiviIla wanapiga mpunga mrefu mno Kuna kitu kinaitwa Carding aise kinawalipa
Si wanajua wao ndio wenye mamlaka ya kufanya hivyo na wala sio mtu mwingine yeyote, kwahiyo hakuna ushindani.Poteza simu uone jinsi police wanavyo babaisha watu
haina uhusiano na chatu ila iliitwa hivyo sababu mwanzilishi wake Von Rossum alitaka jina la hio language liwe fupi na la kipekee, wakati anasoma vijitabu vya vichekesho vinavyoitwa Monty Python Flying Circus akaona jina "Python" linafaa.Language hii inauhusiano na chatu..
No relationship mtengenezaji wa hii language aliita python kutokana na kipindi fulan Cha comedy kulikuwa Kuna mfurahisha sana he decided to call it PythonLanguage hii inauhusiano na chatu..
Humu wapo white tu mkuu 😂😂😂Kuna wi-fi ya taasisi apa sina password msaada wa kuipata
Ila police wanazingua sana kwenye kushughulikia suala lako bila ela it's nothingSi wanajua wao ndio wenye mamlaka ya kufanya hivyo na wala sio mtu mwingine yeyote, kwahiyo hakuna ushindani.
Air Crack ngKuna wi-fi ya taasisi apa sina password msaada wa kuipata
Kuiba taarifa za kadi ya benki unawapa password mwenyewe na namba ya card yako wanaofanya yaoNdo nini hicho na mimi nianze kufanya sasa hivi