Hackers tukutane hapa!

Hackers tukutane hapa!

Language hii inauhusiano na chatu..
haina uhusiano na chatu ila iliitwa hivyo sababu mwanzilishi wake Von Rossum alitaka jina la hio language liwe fupi na la kipekee, wakati anasoma vijitabu vya vichekesho vinavyoitwa Monty Python Flying Circus akaona jina "Python" linafaa.
 
Back
Top Bottom