Hackers tukutane hapa!

Hackers tukutane hapa!

bongo kuna nerds na geeks (wapenda hacking) ila level zetu za kuhack zipo chini, mtu anajiita hacker unamwambia nakupa details zangu kadhaa nataka uhack PC yangu anashindwa.
Ndio maana nikasema hapa bongo ni miyeyusho
 
Back
Top Bottom