Nomadix
JF-Expert Member
- Jan 5, 2025
- 2,411
- 6,646
sema meta na facebook yao wameweka vulnerability kubwa ya kuhackiwa na kuibiwa taarifa, wanatunza location, namba za simu, na taarifa muhimu kwa kutumia codes na security nyepesi sana.Dah Kuna link siku hizi wakenya wanatengeneza uki click tu unakuwa directly hacked