Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Hali ni mbaya sana mtaani .. ma IT wameshamaliza kozi zao.. Ajira hakuna .. Sasa wamegeukia utapeli na wizi kwa njia ya mitandao
Makinika na vitambulisho vyako mbalimbali hasa NIDA
Kadi za bank
Passwords nk
Makinika na wasajili laini mitaani na ikiwezekana TCRA wazifunge hizi freelance za mitandao ya kusajili simu.. Kuna mama kapigwa milion 7 mzee mstaafu kiinua mgongo 25M kimekwenda na maji
Sikiliza voice note hizi