Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majeshi gani mkuu hawa div 4!Majeshi yetu yangewekeza nguvu zao huku...
White hat hackers✔️Napenda sana IT, lakini vijana wanaichafua. Alafu wao ukikuta wanapiga story hadi wanatambiana uwezo wa hacking, sasa sijui hawaelewi kama ni kosa linalopelekea kifungo cha maisha
IT man hatakiwi kuwa muoga, muda wote uko ni ku focus. Huwezi kuwa security systems mzuri bila kuwa Black hacker mzuri.Napenda sana IT, lakini vijana wanaichafua. Alafu wao ukikuta wanapiga story hadi wanatambiana uwezo wa hacking, sasa sijui hawaelewi kama ni kosa linalopelekea kifungo cha maisha
HahaaaaMa IT wa bongo wanachojua ni kuchoma CD na kuweka WhatsApp kwenye simu 🐼
Na wewe unataka kutuhack sasaMajeshi yetu yangewekeza nguvu zao huku...
Niliibiwa simu yangu, wezi wakabadikisha password zangu na kuiba hela.Hali ni mbaya sana mtaani .. ma IT wameshamaliza kozi zao.. Ajira hakuna .. Sasa wamegeukia utapeli na wizi kwa njia ya mitandao
Makinika na vitambulisho vyako mbalimbali hasa NIDA
Kadi za bank
Passwords nk
Makinika na wasajili laini mitaani na ikiwezekana TCRA wazifunge hizi freelance za mitandao ya kusajili simu.. Kuna mama kapigwa milion 7 mzee mstaafu kiinua mgongo 25M kimekwenda na maji
Sikiliza voice note hizi
Wajinga hao wezi sijui wanajuajeNiliibiwa simu yangu, wezi wakabadikisha password zangu na kuiba hela.
Hadi Leo makampuni ya simu yameshindwa kuelewa pin zangu za.M Pesa na Tigo Pesa zilibadiloshwaje?
Wanashirikiana na watu wa makampuni ya simu
Mimi ndio maana nilitaka kusajiri laini naenda sehemu inayoeleweka na nilitaka kutoa pesa naenda tigopesa au m pesa inayoelewekaHuu usajili wa line unafanyika kiolela mno kupitia freelancers, kwenye miamvuli au vibanda vya ajabu ajabu. Hata utoaji wa huduma za miamala ya kifedha kupitia mitandao ya simu pia ufanyika Kiolela bila kufuata taratibu mfano mtoa huduma kuwa na leseni au ofisi inayoeleweka ambapo alitakiwa pia alipe kodi stahiki. Hii upelekea wananchi wengi kutapeliwa na kulizwa pesa zao.
Hii Ni Tz ,😂😂😂Napenda sana IT, lakini vijana wanaichafua. Alafu wao ukikuta wanapiga story hadi wanatambiana uwezo wa hacking, sasa sijui hawaelewi kama ni kosa linalopelekea kifungo cha maisha
Kitu cha ajabu Serikali imeachia huduma hizo kutolewa kiholela kabisa na kila kona pasipo kujali kuwa kuna watoa huduma hizo hizo wanalipa kodi TRA na gharama nyingine.Mimi ndio maana nilitaka kusajiri laini naenda sehemu inayoeleweka na nilitaka kutoa pesa naenda tigopesa au m pesa inayoeleweka
Mkuu Africa nilichogundua bila kujilinda mwenyewe hamna wa kukulindaKitu cha ajabu Serikali imeachia huduma hizo kutolewa kiholela kabisa na kila kona pasipo kujali kuwa kuna watoa huduma hizo hizo wanalipa kodi TRA na gharama nyingine.
Labda hicho chuo cha juu ya ghorofa huku chini fremu na vyumba vya kuishi wapangaji.Hapana kwakweli, hao ni wale vijana wazembe shuleni. Mimi kuna kijana alikuja nyumbani alikaa kama week, kumbe wameitana na vijana wenzake wanamlipa anaingilia mfumo wa chuo anabadili marks. Alafu ni kidogo tu 20s
Wewe ndio boya kweli hukusikia mwezi uliopita UDSM na IFMLabda hicho chuo cha juu ya ghorofa huku chini fremu na vyumba vya kuishi wapangaji.
Chuo chenye strong system kama UDSM, MZUMBE, DARTU, SUA ama UDOM huwezi kuingilia mfumo wa SARIS.
Yule jamaa alikuwa ni hatari, mwamba anategua supp, anakulipia ada, anategua retake yaani ni ww, anakutengezea GPA unayotaka, kikubwa maelewano tuWewe ndio boya kweli hukusikia mwezi uliopita UDSM na IFM
Wakishtaki wanafunzi waliingilia mfumo wa matokeo na kubadilisha.
Vijana wasasa wamezaliwa na technolojia ni watundu sana
na huko baada ndio itazidi kama Nigeria "Yahoo boys "
***** hii hatariHapana kwakweli, hao ni wale vijana wazembe shuleni. Mimi kuna kijana alikuja nyumbani alikaa kama week, kumbe wameitana na vijana wenzake wanamlipa anaingilia mfumo wa chuo anabadili marks. Alafu ni kidogo tu 20s