Aneel munawar
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 4,580
- 8,141
Sawa mkuuwaje tu nawangoja nipo nimejaa hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuuwaje tu nawangoja nipo nimejaa hapa
Halafu kuna hizi app za mikopoHali ni mbaya sana mtaani .. ma IT wameshamaliza kozi zao.. Ajira hakuna .. Sasa wamegeukia utapeli na wizi kwa njia ya mitandao
Makinika na vitambulisho vyako mbalimbali hasa NIDA
Kadi za bank
Passwords nk
Makinika na wasajili laini mitaani na ikiwezekana TCRA wazifunge hizi freelance za mitandao ya kusajili simu.. Kuna mama kapigwa milion 7 mzee mstaafu kiinua mgongo 25M kimekwenda na maji
Sikiliza voice note hizi
View attachment 3099986
Wenzetu ni akili kubwaNi kama kwenye lile tambara la Leonardo Di Caprio la catch me if you can..
Baada ya mwamba kukichafua sana Ilibidi serikali imuajiri kusaidia nchi ktk kung'amua hiyo michezo ya wajuba....ila Kwa sisi hapa watakufunga au hata hawatajisumbua kutafuta Kwa uzembe walionao
Bila ujuzi huwezi kufanya hayo mamboHicho kilichofanyika hapo sio hacking...ni uzembe pia wa muhusika..lakini kama alisajiliwa line na aliyemuibia...inawezekana kabisa kumshika..Tena mapema sana
Hatuko salama kwa asilimia kubwa sanaHalafu kuna hizi app za mikopo
Unajisajiri hadi mwisho wanakwambia imeshindikana. Wakati huo wameshachukua taarifa zako zote, namba ya NIDA, wana access ya phone book, calls, SMS, location
Udsm which 🤣🤣🤣 wewe unavyoshindwa kuogelea ukisema kina kirefu, wenzako wanaoga wakichekeleaLabda hicho chuo cha juu ya ghorofa huku chini fremu na vyumba vya kuishi wapangaji.
Chuo chenye strong system kama UDSM, MZUMBE, DARTU, SUA ama UDOM huwezi kuingilia mfumo wa SARIS.