Hackers wametapakaa mitaani: Makinika na simu zako na kitambulisho chako cha NIDA

Hackers wametapakaa mitaani: Makinika na simu zako na kitambulisho chako cha NIDA

nilienda ripoti polic tukio fulan hv nikajibiwa wenzako wa kale wapi acha kihelehele tafuta pesa ukiwa na pesa huwez kuwa mmbea,, hapo ni kituon najibiwa hivyo tokea hapo na mimi nikiona mtu kapigwa nakumbuka maneno ya yule afande nitafute pesa mana tajir hawi mbea we unapeleka habar kwa nia njemakumbe unawatengezea wenzako njia ya ulaji
 
Ni ushauri tu Mkuu, kujiepusha na majanga yasiyo ya lazima,
sawa mkuu uzur wenyewe wa kubwa wa huku rwanda wanamjua na wanamtumia kwahy hata wakimleteaga polic ni simu moja toka majuu polc wote wanatawanyika hy ishu huwez ijua mwanarwanda wakawaida ni sis wa ndanindan kwe
 
Mwaka 2022 wajanja waliingilia suasis wakajilipia ada, wakapata ticket ya mtihani. SUA mifumo yao ya kizembe sana.

Mtu ana Disco, anakula boom mwaka mzima sababu system zimefeli kumtoa.

Hapo ni SUA na hayo yamefanyika nikiwa mwanafunzi pale.
Anabwabwaja tu huyo bwana
Hizi website na mifumo ya taasisi za Tanzania ipo wazima saana, hakuna cha security Wala ulinzi
Mfano rahisi, fungua website yoyote ya taasisi uone inavyokua nzito kufunguka
Hazina system maintenance na update za mara Kwa mara
Rahisi sana Kwa mwizi kufanya yake
 
Hapana kwakweli, hao ni wale vijana wazembe shuleni. Mimi kuna kijana alikuja nyumbani alikaa kama week, kumbe wameitana na vijana wenzake wanamlipa anaingilia mfumo wa chuo anabadili marks. Alafu ni kidogo tu 20s
Utasaidia police shauri yako😅😅
 
Wewe umepuyanga halafu badala utulie bado tena unaendelea kupayuka!
Pengine tunaweza kusema uliropoka tu lakini hii ya kusema "wakubwa wanamtumia" ni mkaa mkali wa moto unajipalia
sawa mkuu uzur wenyewe wa kubwa wa huku rwanda wanamjua na wanamtumia kwahy hata wakimleteaga polic ni simu moja toka majuu polc wote wanatawanyika hy ishu huwez ijua mwanarwanda wakawaida ni sis wa ndanindan kwe
 
Tanzania hamna hacker wanachezea chezea tu mifumo ya washamba washamba ila hacker wapo Israel waulize waarabu walichofanywa
 
Hapo maana yake ulichoandika kilimzidi uwezo. Pengine hata hakuelewa chochote. Lakini mbaya zaidi badala afanye consultation kwa wataalam wenzale wampe Insight aka conclude tu anavyoona yeye.
Yaan yule mzee mpaka leo namchukia
 
bora hao kuna jamaa huku ka hack not za ten anajifyatulia tu pesa atakavyo na not zake huwez gundua hy fake hy og mana benk zote zinapenya na ananiambia kabisa broo sijakuja kuteseka dunian nimekuja kula bata huwa nataman nimchome kituon tatz kwa wiki jna mm nafyatuliwa tu milion kadhaa twa kula wikeend hy dunia acha tu nyie mnakazana kutafuta hela mwenzenu yupo geto ana print hela kumamake simtaji wacha tule maisha kwanza mana kwa polic za huku zilivyo unaweza toa taalifa end the wiki ukawekwa ndan ww kwa kosa la uchochez c mnakumbuka jamaa walivyo mstak jilan yao wakidai hawajui kaz yake wana waswas nae end the day kumbe jamaa anabet kibao kikageuka awap bora nikae kimya nile maisha ngoja nikamuombe m8 jamaa yangu niend sauth mana nisharopoka wasije wakanibana kwa nia ya kutaka wakapate ulaji huku ukiambiwa uzalendo
Anaprint hela?
aisee kuna watu wanakula kiulaini wakati wengine ni jasho na damu!
 
Janja anayaita matatizo mwenyewe...na damu yake iwe juu yake...sie tumeshanawa mikono
Wewe umepuyanga halafu badala utulie bado tena unaendelea kupayuka!
Pengine tunaweza kusema uliropoka tu lakini hii ya kusema "wakubwa wanamtumia" ni mkaa mkali wa moto unajipalia
 
Bongo hakuna hackers kuna script kiddies tu.. at least 254 hapo.

WaTz wengi wanapigwa na wajanja wachache maana hawajui kutunza sensitive information na namna ya kufagia footprints baada ya kutumia device fulani ambayo kwa baadae hatoitumia tena. Pia uvivu na kupenda dezo (kufanyiwa kila kitu na 3rd party)..
 
Back
Top Bottom