Hackers wametapakaa mitaani: Makinika na simu zako na kitambulisho chako cha NIDA

Hackers wametapakaa mitaani: Makinika na simu zako na kitambulisho chako cha NIDA

Labda hicho chuo cha juu ya ghorofa huku chini fremu na vyumba vya kuishi wapangaji.

Chuo chenye strong system kama UDSM, MZUMBE, DARTU, SUA ama UDOM huwezi kuingilia mfumo wa SARIS.
Kalaghabaho hamna mkate mgumu ndgu yangu.

Vijana wanahack vizuri tu, hiyo mifumo yao inayoscruch scruch au huna taarifa??

Kina Joni kisomo hamuwezi kuwajua hackers vyuoni, ila wapo sana na vijana wa hovyo wanawatumia mno kufix matokeo yao.
 
Ni kweli kabsa 😊 Binafsi wakati tunamaliza chuo tuliandika barua na kupelekea TCRA ili tupate baraka zao katika shughuli yetu nzima ya kutengeneza mfumo wa kuzuia na kushika hawa watu wa tuma kwenye namba hii. AISEE tulipewa jibu moja takatifu nikasema kwa uchungu sana Tanzania tuna viongozi was****e sana! Jitu lilisoma barua ndani ya dakika tano eti linasema mfumo hauna mashiko.
 
Labda hicho chuo cha juu ya ghorofa huku chini fremu na vyumba vya kuishi wapangaji.

Chuo chenye strong system kama UDSM, MZUMBE, DARTU, SUA ama UDOM huwezi kuingilia mfumo wa SARIS.
Mwaka 2022 wajanja waliingilia suasis wakajilipia ada, wakapata ticket ya mtihani. SUA mifumo yao ya kizembe sana.

Mtu ana Disco, anakula boom mwaka mzima sababu system zimefeli kumtoa.

Hapo ni SUA na hayo yamefanyika nikiwa mwanafunzi pale.
 
Naunga mkono hoja.

Kwa sasa makampuni ya simu yabakize mawakala halali sio wanaotembea mitaani. Ofisi za kueleweka hata hvyo watu wengi wameshajisajili hakuta kuwa na foleni. Ingawa hadi mtu apigwe lazima akose umakini kwenye sehemu moja ya mnyororo wa michakato ya kutapeliwa kwake.
Vijana wenzako wakibaki jobless furaha yako inakuwa ni ipi? , maana huwezi zuia bodaboda kwasababu ya ajali moja
 
Niliibiwa simu yangu, wezi wakabadikisha password zangu na kuiba hela.

Hadi Leo makampuni ya simu yameshindwa kuelewa pin zangu za.M Pesa na Tigo Pesa zilibadiloshwaje?

Wanashirikiana na watu wa makampuni ya simu
Makampuni ya simu ni genge la wanyang'anyi tu.. Nikikumbuka nilivyopigwa danadana na refund yangu toka ATCL, mpaka nimeamua kuacha tu.. Ila nikikumbuka 385,000 yangu naumia sana. Airtel na Vodacom basi tu.. Lakini kuna dhuluma kubwa sana tunafanyiwa. .
 
Naunga mkono hoja.

Kwa sasa makampuni ya simu yabakize mawakala halali sio wanaotembea mitaani. Ofisi za kueleweka hata hvyo watu wengi wameshajisajili hakuta kuwa na foleni. Ingawa hadi mtu apigwe lazima akose umakini kwenye sehemu moja ya mnyororo wa michakato ya kutapeliwa kwake.
Hakuna haja ya mobile wakala anymore

Tueafuate maofisini
 
Hali ni mbaya sana mtaani .. ma IT wameshamaliza kozi zao.. Ajira hakuna .. Sasa wamegeukia utapeli na wizi kwa njia ya mitandao

Makinika na vitambulisho vyako mbalimbali hasa NIDA

Kadi za bank

Passwords nk

Makinika na wasajili laini mitaani na ikiwezekana TCRA wazifunge hizi freelance za mitandao ya kusajili simu.. Kuna mama kapigwa milion 7 mzee mstaafu kiinua mgongo 25M kimekwenda na maji

Sikiliza voice note hizi
View attachment 3099986
Wazee wa Cyber wao wanadeal na chadema tu
 
Na hii mitandao ya simu, inauza sana taarifa za faragha,

AIRTEL MKIRUDIA UPUUZI MLIOFANYA MAJUZI, Nitawapeleka mahakamani 😕😕
Mwizi katumia kuiba pesa kutumia simu yake ambayo imesajiriwa kwa nida ambayo inatoa utambulisho wa mhusika mahali alipo na shule aliyosomea na kazi anayofanya na ndugu zake walipo.

Bado Polisi na Mitandao wanasua sua wanakwambia tu Pole.

Hii nchi bwana.
 
Back
Top Bottom