Hackers wametapakaa mitaani: Makinika na simu zako na kitambulisho chako cha NIDA

Halafu kuna hizi app za mikopo
Unajisajiri hadi mwisho wanakwambia imeshindikana. Wakati huo wameshachukua taarifa zako zote, namba ya NIDA, wana access ya phone book, calls, SMS, location
 

Wenzetu ni akili kubwa
Hicho kilichofanyika hapo sio hacking...ni uzembe pia wa muhusika..lakini kama alisajiliwa line na aliyemuibia...inawezekana kabisa kumshika..Tena mapema sana
Bila ujuzi huwezi kufanya hayo mambo
Halafu kuna hizi app za mikopo
Unajisajiri hadi mwisho wanakwambia imeshindikana. Wakati huo wameshachukua taarifa zako zote, namba ya NIDA, wana access ya phone book, calls, SMS, location
Hatuko salama kwa asilimia kubwa sana
 
Labda hicho chuo cha juu ya ghorofa huku chini fremu na vyumba vya kuishi wapangaji.

Chuo chenye strong system kama UDSM, MZUMBE, DARTU, SUA ama UDOM huwezi kuingilia mfumo wa SARIS.
Udsm which 🤣🤣🤣 wewe unavyoshindwa kuogelea ukisema kina kirefu, wenzako wanaoga wakichekelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…