Kashaulo
JF-Expert Member
- Jun 14, 2019
- 2,936
- 4,947
Bora umesema
Maana kuna watu mpaka wanashangaza wanavyompaisha wangejua anajulikana Dar tu na singida
Leo Igunga huko wananchi wamefunga barabara!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora umesema
Maana kuna watu mpaka wanashangaza wanavyompaisha wangejua anajulikana Dar tu na singida
Media zina wengi wa kutangaza..sio yeye peke yake maana halipii airtime.
Duh..kwani hujui kama muda umeisha.?.kweli vijana wa chadema mna bahati mbaya.Ukitaja kujua kwa jiiwe uongozi ni bahati mbaya, tazama zile mbwembwe za kuwa mwenyekiti wa SADC lile promo halikuwa la dunia hii, baada ya kuchomesha, jana kakabidhi kijiti kwa aibu huko uchochoroni Dodoma. Na kwanini alichemsha huko SADC, huko zile nguvu zake za vyombo vya dola, watu wasiojulikana, na kutamkwa jina lake kwa majina manne hakuna, ndio maana akatepeta kama mchicha uliochemshwa.
Lakini pia Sina hakika Kama kisukuma ni moja ya lugha za mawasiliano huko SADCUkitaja kujua kwa jiiwe uongozi ni bahati mbaya, tazama zile mbwembwe za kuwa mwenyekiti wa SADC lile promo halikuwa la dunia hii, baada ya kuchomesha, jana kakabidhi kijiti kwa aibu huko uchochoroni Dodoma. Na kwanini alichemsha huko SADC, huko zile nguvu zake za vyombo vya dola, watu wasiojulikana, na kutamkwa jina lake kwa majina manne hakuna, ndio maana akatepeta kama mchicha uliochemshwa.
Duh..kwani hujui kama muda umeisha.?.kweli vijana wa chadema mna bahati mbaya.
Siku ukikuwa utajua why kuongeza mshahara wafanyakazi wako ni muhimuUnalosema uchaguz huru ni sawa kabisa. Mambo yanatakiwa yawe wazi rais akosolewe ili wajirekebishe au aingie mwengine. ila swala la kuongezwa mishahara mi binafsi naona halina maana sana. pesa sikuzote haitoshi badala ya kuongeza mishahara watu wa serikali bora hela ifunguliwe taasisi itoe ajira kwa watu wenye elimu ndogo na wanaohangaika kupata kazi.kama wenzetu china uko.
Kweli mkuu,waruhusu fair groundAchieni media zitangaze habari zake, uoga wa nini? Au ndio mnaelewa sasa hivi kuwa wananchi hawali ndege wala flyover
Labda hujafatilia tu..mkutano ulifanyika online..sio kwa watu kusafiriTunajua sana, mbona wakati alipokabidhiwa alikabidhiwa kwa mbwembwe, na aliyempokea tulimuona, mpaka tukaambiwa bila kuoga tusiingie mjini, kwanini yeye afanye makabidhiano huko uchochoro na bila zile promo alizokabidhiwa nazo? Shubamiit.
nikujibu moja la flyover ili ujione mjinga, sasa ndugu kwa population ya watu ambao nao kutokana na uchumi kuwa mzuri wamenunua magari maana hayatolewi bure hiyo foleni bila kuitengenezea miundombinu ya maana kama flyover unategemea ungekuwa unfika kazini saa ngapi unafanyaje kazi zako kwa kukaa foleni masaa sita kwa siku au maendeleo ya mtu mmoja mmoja unataka uwekewe hela mfukoni ? hayao siyo maendeleo amkeni lissu anawadanganya hana sera za kumkomboa mtanzania ana hazina ya matusi tuAchieni media zitangaze habari zake, uoga wa nini? Au ndio mnaelewa sasa hivi kuwa wananchi hawali ndege wala flyover
Hapo ndio umekaa umefikiria unaona kabisa hayo ni majibu, sijui una elimu kiwango gani kwa ufikiri huu.nikujibu moja la flyover ili ujione mjinga, sasa ndugu kwa population ya watu ambao nao kutokana na uchumi kuwa mzuri wamenunua magari maana hayatolewi bure hiyo foleni bila kuitengenezea miundombinu ya maana kama flyover unategemea ungekuwa unfika kazini saa ngapi unafanyaje kazi zako kwa kukaa foleni masaa sita kwa siku au maendeleo ya mtu mmoja mmoja unataka uwekewe hela mfukoni ? hayao siyo maendeleo amkeni lissu anawadanganya hana sera za kumkomboa mtanzania ana hazina ya matusi tu
Labda hujafatilia tu..mkutano ulifanyika online..sio kwa watu kusafiri
wewe ndiyo huna hoja umekalili tu wenzio wakisema maendeleo ya watu na wewe ukakurupuka hapa jf eti unataka maendeleo ya watuHapo ndio umekaa umefikiria unaona kabisa hayo ni majibu, sijui una elimu kiwango gani kwa ufikiri huu.
Njaa mbaya ndugu yangu....jukumu
Okaywewe ndiyo huna hoja umekalili tu wenzio wakisema maendeleo ya watu na wewe ukakurupuka hapa jf eti unataka maendeleo ya watu
Hakuna mtanzania asie mjua lissu,,hata mke wako na mama ako wanamjua lissu,,,wewe ni nani unaesema lissu hajulikaniBora umesema
Maana kuna watu mpaka wanashangaza wanavyompaisha wangejua anajulikana Dar tu na singida