Uchaguzi 2020 Hadhi ya Lissu ni sawa na wagombea ubunge, tusimlinganishe na Rais Magufuli

mwaka 2015 hata JPM naye alianzia ground zero. alikuwa ni mbunge tu.

isitoshe katika kupigania mali asili za nchi hii, Lissu alianza tangu 1990s huko wakati JPM kaanza hapa juzi tu 2016.
kwa kigezo hiki pekee lakini muhimu sana, Lissu ni mzoefu kumzidi mpinzani wake kwa zaidi ya miaka 20!
 
Hivi wewe mbona ukipotea jf ukirudi unatatizo la kuhara tuu?
Kweli MTU kama huyu waweza kusimama hadharani ukatamba msikie namba one wangu?
Real? Mie nikiulizwa hadharani nitakimbia kwa aibu. Usirudie tena kumlinganisha na Lissu.

Sawa, sasa mbona unahaingaika kuvipiga fine na kuvitisha vyombo vya habari ambavyo vitaripoti habari za huyu mwenye hadhi ya Ubunge tu?
 
Mwaka 6 huu hali zetu kijijini mbaya kiuchumi sijuwi nini kimetokea.hata watumishi wa umma taabani.
 
Mkuu nadhani mdahalo ungekuwa poa sana,ili tuone hiyo mechi Kati ya Real Madrid na Lipuli inavyopigwa and in the end tuconclude who is utopolo and who is not
[emoji23][emoji23] nami namshangaa myoa post.anapiga kelele. Kama wanajiamini na mgombea wao waweke mdaharo. Nakuhakikishia watajutia kosa.

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Hahahaha mnajua kujifariji nyie. Leo hii lissu anajulikana dar na singida tu? Yaan na dodoma alipopigwa risasi hajulikani[emoji16][emoji16]

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
Dodoma anajulikana wapi Sasa!!!?
Labda ubelgiji alikoenda kutibiwa
Lakin Tz hamna kitu
Unajua wanachama mnajua Sana kumdanganya mtu kwamba unakubalika na Tz nzima wanakkubali kumbe zero kabisa
 
Hakuna mtanzania asie mjua lissu,,hata mke wako na mama ako wanamjua lissu,,,wewe ni nani unaesema lissu hajulikani
Hajulikani Wala Nini nyie endeleeni kumdanganya atakapopata kura sifuri kwwnye maeneo mengi ndui mtakapojua
Subirini asilimia 2 ya kura october
 
Mbona Magufuli alishindwa kwenda full-combination (PCM)? Akaenda ualimu half-comb (CM) Mkwawa? Full-comb ilikataa! Akachezea chaki Senegrema sekondari? Sembuse Lissu aliyepasi msingi hadi chuo kikuu na kuwa mwanasheria?
Ndugu zangu,

Kuna baadhi ya kikundi wanalazimisha kwa kufanya propaganda kuwa Tundu Lissu ni sawa na Raisi Magufuli, wanaenda mbali kwa kutaka ''mdahalo'', sijui nini na nini. Tuweke taarifa sawa, Tundu Lissu sifa zake ni hizi;
  1. Anagombea urais kutafuta ruzuku ya chadema ili angalau baada ya uchaguzi aweze kupata chochote
  2. Anaogombea urais ili kuwaridhisha wafadhili wake; mfano mzuri hata hadhira na mambo anayozungumza yanahusu wakenya na wazungu.
  3. Tundu Lissu anaamini miundombinu, hospitali,shule nk ni maendeleo ya vitu sio watu; sasa hapa kufanya naye mjadala wenye akili watakushangaa. Ni sawa na kumkimbiza kichaa.
Kwa hoja hizo tatu itoshe kusema inashangaza kuona baadhi ya watu wanaoamini kuwa Tundu Lissu anamaanisha analolofanya kiasi cha kumlinganisha na Rais John Magufuli ambaye ametekeleza kwa kufanya mambo makubwa kwenye ujenzi wa nchi. Magufuli anapaswa kufanya yafuatayo;
  1. Anapaswa kwa makini kutulia na kuona ni jinsi gani atatimiza manifesto (ilani) ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ikumbukwe mambo mengi ametekeleza kuzidi matarajio (2015-2020) na sio kujadili mdahalo wa kujadili kuwa miundombinu ni maendeleo ya watu au vitu?
  2. Huyu ni mtu anayetumia akili kufikiri namna ya kuwaletea wananchi kwa kutumia rasilimali zilizopo na sio kufurahisha watu wa nje.
Aah itoshe kusema, Raisi Magufuli hahitaji kujieleza, yeye keshatenda. Ni jukumu la Lissu kuwaambia watanzani Je Barrick/Accacia wameshinda kesi MIGA?

Wasalaam.
 
Leo Igunga huko wananchi wamefunga barabara!
Hao mmewatoa dar akajipange huko eti mseme Igunga wamefunga njia
Yaan lisu hata hadhi ya ubunge Hana kwa Sasa labda ujumbe was nyumba kumi au mwenyekiti was serikali ya mtaa
 
Ndugu zangu,

Kuna baadhi ya kikundi wanalazimisha kwa kufanya propaganda kuwa Tundu Lissu ni sawa na Raisi Magufuli, wanaenda mbali kwa kutaka ''mdahalo'', sijui nini na nini. Tuweke taarifa sawa, Tundu Lissu sifa zake ni hizi;
  1. Anagombea urais kutafuta ruzuku ya chadema ili angalau baada ya uchaguzi aweze kupata chochote
  2. Anaogombea urais ili kuwaridhisha wafadhili wake; mfano mzuri hata hadhira na mambo anayozungumza yanahusu wakenya na wazungu.
  3. Tundu Lissu anaamini miundombinu, hospitali,shule nk ni maendeleo ya vitu sio watu; sasa hapa kufanya naye mjadala wenye akili watakushangaa. Ni sawa na kumkimbiza kichaa.
Kwa hoja hizo tatu itoshe kusema inashangaza kuona baadhi ya watu wanaoamini kuwa Tundu Lissu anamaanisha analolofanya kiasi cha kumlinganisha na Rais John Magufuli ambaye ametekeleza kwa kufanya mambo makubwa kwenye ujenzi wa nchi. Magufuli anapaswa kufanya yafuatayo;
  1. Anapaswa kwa makini kutulia na kuona ni jinsi gani atatimiza manifesto (ilani) ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ikumbukwe mambo mengi ametekeleza kuzidi matarajio (2015-2020) na sio kujadili mdahalo wa kujadili kuwa miundombinu ni maendeleo ya watu au vitu?
  2. Huyu ni mtu anayetumia akili kufikiri namna ya kuwaletea wananchi kwa kutumia rasilimali zilizopo na sio kufurahisha watu wa nje.
Aah itoshe kusema, Raisi Magufuli hahitaji kujieleza, yeye keshatenda. Ni jukumu la Lissu kuwaambia watanzani Je Barrick/Accacia wameshinda kesi MIGA?

Wasalaam.
Hata hadhi ya ubunge Hana labda mwenyekiti serikali ya mtaa
 
Mkuu Chadema ni vichekesho pale wapo wajasiriamali tuu, Yani wanachadema wanashindwa hata kurecall term iliyopita Lowassa alivyoinunua Chadema??, Lissu yuko pale kwa masirahi binafsi tuu.
 
Achieni media zitangaze habari zake, uoga wa nini? Au ndio mnaelewa sasa hivi kuwa wananchi hawali ndege wala flyover
Media makini hazitangazi hisia na uzushi! Zinatangaza issues na Lissu HANA UWEZO wa kuzungumzia issues.
 
Lissu bado anahasira ya kupigwa risasi and maana anajazba sana.
 
Ndugu zangu,

Kuna baadhi ya kikundi wanalazimisha kwa kufanya propaganda kuwa Tundu Lissu ni sawa na Raisi Magufuli, wanaenda mbali kwa kutaka ''mdahalo'', sijui nini na nini. Tuweke taarifa sawa, Tundu Lissu sifa zake ni hizi;
  1. Anagombea urais kutafuta ruzuku ya chadema ili angalau baada ya uchaguzi aweze kupata chochote
  2. Anaogombea urais ili kuwaridhisha wafadhili wake; mfano mzuri hata hadhira na mambo anayozungumza yanahusu wakenya na wazungu.
  3. Tundu Lissu anaamini miundombinu, hospitali,shule nk ni maendeleo ya vitu sio watu; sasa hapa kufanya naye mjadala wenye akili watakushangaa. Ni sawa na kumkimbiza kichaa.
Kwa hoja hizo tatu itoshe kusema inashangaza kuona baadhi ya watu wanaoamini kuwa Tundu Lissu anamaanisha analolofanya kiasi cha kumlinganisha na Rais John Magufuli ambaye ametekeleza kwa kufanya mambo makubwa kwenye ujenzi wa nchi. Magufuli anapaswa kufanya yafuatayo;
  1. Anapaswa kwa makini kutulia na kuona ni jinsi gani atatimiza manifesto (ilani) ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ikumbukwe mambo mengi ametekeleza kuzidi matarajio (2015-2020) na sio kujadili mdahalo wa kujadili kuwa miundombinu ni maendeleo ya watu au vitu?
  2. Huyu ni mtu anayetumia akili kufikiri namna ya kuwaletea wananchi kwa kutumia rasilimali zilizopo na sio kufurahisha watu wa nje.
Aah itoshe kusema, Raisi Magufuli hahitaji kujieleza, yeye keshatenda. Ni jukumu la Lissu kuwaambia watanzani Je Barrick/Accacia wameshinda kesi MIGA?

Wasalaam.
Huu unaoanzisha hapa sio mjadala?
 
Back
Top Bottom