Uchaguzi 2020 Hadhi ya Lissu ni sawa na wagombea ubunge, tusimlinganishe na Rais Magufuli

Ndugu zangu,

Kuna baadhi ya kikundi wanalazimisha kwa kufanya propaganda kuwa Tundu Lissu ni sawa na Raisi Magufuli, wanaenda mbali kwa kutaka ''mdahalo'', sijui nini na nini. Tuweke taarifa sawa, Tundu Lissu sifa zake ni hizi;
  1. Anagombea urais kutafuta ruzuku ya chadema ili angalau baada ya uchaguzi aweze kupata chochote
  2. Anaogombea urais ili kuwaridhisha wafadhili wake; mfano mzuri hata hadhira na mambo anayozungumza yanahusu wakenya na wazungu.
  3. Tundu Lissu anaamini miundombinu, hospitali,shule nk ni maendeleo ya vitu sio watu; sasa hapa kufanya naye mjadala wenye akili watakushangaa. Ni sawa na kumkimbiza kichaa.
Kwa hoja hizo tatu itoshe kusema inashangaza kuona baadhi ya watu wanaoamini kuwa Tundu Lissu anamaanisha analolofanya kiasi cha kumlinganisha na Rais John Magufuli ambaye ametekeleza kwa kufanya mambo makubwa kwenye ujenzi wa nchi. Magufuli anapaswa kufanya yafuatayo;
  1. Anapaswa kwa makini kutulia na kuona ni jinsi gani atatimiza manifesto (ilani) ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ikumbukwe mambo mengi ametekeleza kuzidi matarajio (2015-2020) na sio kujadili mdahalo wa kujadili kuwa miundombinu ni maendeleo ya watu au vitu?
  2. Huyu ni mtu anayetumia akili kufikiri namna ya kuwaletea wananchi kwa kutumia rasilimali zilizopo na sio kufurahisha watu wa nje.
Aah itoshe kusema, Raisi Magufuli hahitaji kujieleza, yeye keshatenda. Ni jukumu la Lissu kuwaambia watanzani Je Barrick/Accacia wameshinda kesi MIGA?

Wasalaam.

Itoshe tu kusema kuwa mtanange wa mwaka huu ni kama mtanange kati ya Mfalme Sauli na Kijana Daudi. Kuna muujiza utatokea hiyo October na Daudi ataapishwa kuwa Mfalme. Na atauweka kwa mara ya kwanza msingi imara wa demokrasia hapa TZ
 
Hakika mkuu
Yani nilipo soma kichwa cha uzi huu direct nimeingia na kutupia like kwa haraka. safi sana Tusimfananishe Raisi Magufuli na mambo ya ajabu wapinzani wakae na kutulia wajipange na hoja za mana na zinazo weza kutusogeza mbele kama taifa moja na si kuleta kelele zisizo za mana.
 
JPM chaguo la Mungu
Itoshe tu kusema kuwa mtanange wa mwaka huu ni kama mtanange kati ya Mfalme Sauli na Kijana Daudi. Kuna muujiza utatokea hiyo October na Daudi ataapishwa kuwa Mfalme. Na atauweka kwa mara ya kwanza msingi imara wa demokrasia hapa TZ
 
Magufuri atafute kazi nyingine..Mkwere anachekaaaa
 
Ndugu zangu,

Kuna baadhi ya kikundi wanalazimisha kwa kufanya propaganda kuwa Tundu Lissu ni sawa na Raisi Magufuli, wanaenda mbali kwa kutaka ''mdahalo'', sijui nini na nini. Tuweke taarifa sawa, Tundu Lissu sifa zake ni hizi;
  1. Anagombea urais kutafuta ruzuku ya chadema ili angalau baada ya uchaguzi aweze kupata chochote
  2. Anaogombea urais ili kuwaridhisha wafadhili wake; mfano mzuri hata hadhira na mambo anayozungumza yanahusu wakenya na wazungu.
  3. Tundu Lissu anaamini miundombinu, hospitali,shule nk ni maendeleo ya vitu sio watu; sasa hapa kufanya naye mjadala wenye akili watakushangaa. Ni sawa na kumkimbiza kichaa.
Kwa hoja hizo tatu itoshe kusema inashangaza kuona baadhi ya watu wanaoamini kuwa Tundu Lissu anamaanisha analolofanya kiasi cha kumlinganisha na Rais John Magufuli ambaye ametekeleza kwa kufanya mambo makubwa kwenye ujenzi wa nchi. Magufuli anapaswa kufanya yafuatayo;
  1. Anapaswa kwa makini kutulia na kuona ni jinsi gani atatimiza manifesto (ilani) ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ikumbukwe mambo mengi ametekeleza kuzidi matarajio (2015-2020) na sio kujadili mdahalo wa kujadili kuwa miundombinu ni maendeleo ya watu au vitu?
  2. Huyu ni mtu anayetumia akili kufikiri namna ya kuwaletea wananchi kwa kutumia rasilimali zilizopo na sio kufurahisha watu wa nje.
Aah itoshe kusema, Raisi Magufuli hahitaji kujieleza, yeye keshatenda. Ni jukumu la Lissu kuwaambia watanzani Je Barrick/Accacia wameshinda kesi MIGA?

Wasalaam.
Unatapatapa sana, pole
 
Lissu anakera kasema anataka presidential debate na Magufuri...Lugha achague yeye..bwa bwa bwa
 
Na wale waliokatisha ghafla. Mkuu jiulize kwa nini pamojana madai ya kunyoosha nchi miaka minne wananchi hawana kabisa hamu na CCM, hapa ndio swali la msingi. Ukijiuliza hili swali litasaidia kwenye masuala ya sera na vipaumbele kama Taifa. Huwezi kutumia matrilioni kununua ndege zaidi ya 10 wakati hali ya maisha ya watumishi haiboreshwi kimaslahi. Sasa tunakopa tu kila siku hito stigler mpaka leo, hata nyumbani huwezi kukazania kununua sofa zuri halafu mnashindia mihogo hata protein hampati ili tu akija mgeni aone unaishi pazuri. Mtapata utapia mlo afya izorote mpate na magonjwa mwisho mfe.

Na amini ndugu uchaguzi ukiwa huru na haki kutatokea mshangao mkubwa sana
Wananchi gani hao, au nyie wapiga dili?
 
Ndugu zangu,

Kuna baadhi ya kikundi wanalazimisha kwa kufanya propaganda kuwa Tundu Lissu ni sawa na Raisi Magufuli, wanaenda mbali kwa kutaka ''mdahalo'', sijui nini na nini. Tuweke taarifa sawa, Tundu Lissu sifa zake ni hizi;
  1. Anagombea urais kutafuta ruzuku ya chadema ili angalau baada ya uchaguzi aweze kupata chochote
  2. Anaogombea urais ili kuwaridhisha wafadhili wake; mfano mzuri hata hadhira na mambo anayozungumza yanahusu wakenya na wazungu.
  3. Tundu Lissu anaamini miundombinu, hospitali,shule nk ni maendeleo ya vitu sio watu; sasa hapa kufanya naye mjadala wenye akili watakushangaa. Ni sawa na kumkimbiza kichaa.
Kwa hoja hizo tatu itoshe kusema inashangaza kuona baadhi ya watu wanaoamini kuwa Tundu Lissu anamaanisha analolofanya kiasi cha kumlinganisha na Rais John Magufuli ambaye ametekeleza kwa kufanya mambo makubwa kwenye ujenzi wa nchi. Magufuli anapaswa kufanya yafuatayo;
  1. Anapaswa kwa makini kutulia na kuona ni jinsi gani atatimiza manifesto (ilani) ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ikumbukwe mambo mengi ametekeleza kuzidi matarajio (2015-2020) na sio kujadili mdahalo wa kujadili kuwa miundombinu ni maendeleo ya watu au vitu?
  2. Huyu ni mtu anayetumia akili kufikiri namna ya kuwaletea wananchi kwa kutumia rasilimali zilizopo na sio kufurahisha watu wa nje.
Aah itoshe kusema, Raisi Magufuli hahitaji kujieleza, yeye keshatenda. Ni jukumu la Lissu kuwaambia watanzani Je Barrick/Accacia wameshinda kesi MIGA?

Wasalaam.
Kweli comrade..ata kuwatukana wakina mama,shangazi,watumishi ameisha maliza
 
Lissu mmoja ni sawa na meko 30[emoji1][emoji39][emoji111]

Acha kujichanganya,atafanya mdahalo na akina Bonna
Kama ako sawa na wagombea ubunge kubalini kufanya nae mdahalo kama muko na hiyo power LISU kamzidi mgombea wenu kwa kila kitu
 
Ndugu zangu,

Kuna baadhi ya kikundi wanalazimisha kwa kufanya propaganda kuwa Tundu Lissu ni sawa na Raisi Magufuli, wanaenda mbali kwa kutaka ''mdahalo'', sijui nini na nini. Tuweke taarifa sawa, Tundu Lissu sifa zake ni hizi;
  1. Anagombea urais kutafuta ruzuku ya chadema ili angalau baada ya uchaguzi aweze kupata chochote
  2. Anaogombea urais ili kuwaridhisha wafadhili wake; mfano mzuri hata hadhira na mambo anayozungumza yanahusu wakenya na wazungu.
  3. Tundu Lissu anaamini miundombinu, hospitali,shule nk ni maendeleo ya vitu sio watu; sasa hapa kufanya naye mjadala wenye akili watakushangaa. Ni sawa na kumkimbiza kichaa.
Kwa hoja hizo tatu itoshe kusema inashangaza kuona baadhi ya watu wanaoamini kuwa Tundu Lissu anamaanisha analolofanya kiasi cha kumlinganisha na Rais John Magufuli ambaye ametekeleza kwa kufanya mambo makubwa kwenye ujenzi wa nchi. Magufuli anapaswa kufanya yafuatayo;
  1. Anapaswa kwa makini kutulia na kuona ni jinsi gani atatimiza manifesto (ilani) ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ikumbukwe mambo mengi ametekeleza kuzidi matarajio (2015-2020) na sio kujadili mdahalo wa kujadili kuwa miundombinu ni maendeleo ya watu au vitu?
  2. Huyu ni mtu anayetumia akili kufikiri namna ya kuwaletea wananchi kwa kutumia rasilimali zilizopo na sio kufurahisha watu wa nje.
Aah itoshe kusema, Raisi Magufuli hahitaji kujieleza, yeye keshatenda. Ni jukumu la Lissu kuwaambia watanzani Je Barrick/Accacia wameshinda kesi MIGA?

Wasalaam.
Upuuzi mtupu
 
Kwanza tuna sheria ya maudhui..ukitaka kujua kauli anazotumia tundulisu tafuta interviews zake anazofanya na media za nje na hasa kenya. Kwa vyombo makini vya habari ni ngumu kufanya nae coverages. Hata kwenye hardtalk yule jamaa alikuwa anapingana nae sana.

Pili maisha bora ya watanzania hayapo kwenye kula tu..na hakuna mtanzania aliyelalamika njaa. Mahitaji ya watanzania ni umeme, huduma za maji, huduma za afya na miundombinu. Ukiwaboreshea hapo tayari umerahisisha njia za utafutaji riziki.
Utopolo mtupu....tuliza shuzi lako bashite
 
Ndugu zangu,

Kuna baadhi ya kikundi wanalazimisha kwa kufanya propaganda kuwa Tundu Lissu ni sawa na Raisi Magufuli, wanaenda mbali kwa kutaka ''mdahalo'', sijui nini na nini. Tuweke taarifa sawa, Tundu Lissu sifa zake ni hizi;
  1. Anagombea urais kutafuta ruzuku ya chadema ili angalau baada ya uchaguzi aweze kupata chochote
  2. Anaogombea urais ili kuwaridhisha wafadhili wake; mfano mzuri hata hadhira na mambo anayozungumza yanahusu wakenya na wazungu.
  3. Tundu Lissu anaamini miundombinu, hospitali,shule nk ni maendeleo ya vitu sio watu; sasa hapa kufanya naye mjadala wenye akili watakushangaa. Ni sawa na kumkimbiza kichaa.
Kwa hoja hizo tatu itoshe kusema inashangaza kuona baadhi ya watu wanaoamini kuwa Tundu Lissu anamaanisha analolofanya kiasi cha kumlinganisha na Rais John Magufuli ambaye ametekeleza kwa kufanya mambo makubwa kwenye ujenzi wa nchi. Magufuli anapaswa kufanya yafuatayo;
  1. Anapaswa kwa makini kutulia na kuona ni jinsi gani atatimiza manifesto (ilani) ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ikumbukwe mambo mengi ametekeleza kuzidi matarajio (2015-2020) na sio kujadili mdahalo wa kujadili kuwa miundombinu ni maendeleo ya watu au vitu?
  2. Huyu ni mtu anayetumia akili kufikiri namna ya kuwaletea wananchi kwa kutumia rasilimali zilizopo na sio kufurahisha watu wa nje.
Aah itoshe kusema, Raisi Magufuli hahitaji kujieleza, yeye keshatenda. Ni jukumu la Lissu kuwaambia watanzani Je Barrick/Accacia wameshinda kesi MIGA?

Wasalaam.
Miongoni mwa watu nisio wapenda Tundu Lisu ni namba moja.
 
Back
Top Bottom