Uchaguzi 2020 Hadhi ya Lissu ni sawa na wagombea ubunge, tusimlinganishe na Rais Magufuli

Wewe sijui kama kweli ni mtanzania, yaani hujui kuwa kuna watu hapa nchini wanashindwa hata kupata mlo mmoja?

Watu wanalala na njaa kabisa alafu unatohoja eti hakuna mtu anaye lalamika kukosa chakula? Wewe naamini siyo mtanzania kabisa.
 
Mkuu nadhani mdahalo ungekuwa poa sana,ili tuone hiyo mechi Kati ya Real Madrid na Lipuli inavyopigwa and in the end tuconclude who is utopolo and who is not
Timu ya upande wa mboga mboga fc lazima ikimbie
 
Ndio maana tunasema kuwepo mdahalo ili kupima maelezo ya wagombea.
Mdahalo ni kama mahakama ya hoja za kisiasa kuzitetea.
 
Umenena vema
Kama wanataka mdahalo saizi yake Lissu ni Mzee Rungwe Sipunda,hao wanaotaka mdahalo waambieni hatuli midahalo,sisi tunajua utendaji uliotukuka wa serikali ya CCM,ilani zinatekelezwa huyo wa midahalo akafanye na Sackur
 
Dogo hujui kitu
Magufuli alikuwa anajulikana CHATO tuu kipindi anateuliwa chama tu ndio kilimbeba Sana. Na ndio nyie mlisema hafai hata kuwa balozi wa nyumba kumi, leo mwasema tofauti
 
Hakuna aliyeumbwa na hadhi ya kitu chochote hapa Duniani ni utafutaji tu
 
Huo utafiti uliufanya lini na wapi kuwa wananchi hawana hamu na CCM? Pia elewa kuwa tanzania hawaishi watumishi peke yake ambao wanategemea nyongeza za mishahar
a ili wanye protin.
 
TUWAKUTANISHE KWENYE MDAHALO KWANZA TUJUE NANI HADHI YA URAIS NA NANI HADHI YA UTOPOLO
 
Kamanda tulia,jenga hoja acha kubwabwaja
Ndiyo boys mfia chama! Najua kwako ni wakati wa kusahau shida zilizokuandama kwa miaka mitano! Chunga usijeambulia kofia na t-shirt! Safari hii unayempigania Hana uhakika wa kurejea hivyo sahau kuteuliwa!
 
Jikite kwenye hoja kamanda acha
Ndiyo boys mfia chama! Najua kwako ni wakati wa kusahau shida zilizokuandama kwa miaka mitano! Chunga usijeambulia kofia na t-shirt! Safari hii unayempigania Hana uhakika wa kurejea hivyo sahau kuteuliwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…