Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
KabisaAcha kumlinganisha Lissu na vitu vya ajabu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KabisaAcha kumlinganisha Lissu na vitu vya ajabu!
Wewe sijui kama kweli ni mtanzania, yaani hujui kuwa kuna watu hapa nchini wanashindwa hata kupata mlo mmoja?Kwanza tuna sheria ya maudhui..ukitaka kujua kauli anazotumia tundulisu tafuta interviews zake anazofanya na media za nje na hasa kenya. Kwa vyombo makini vya habari ni ngumu kufanya nae coverages. Hata kwenye hardtalk yule jamaa alikuwa anapingana nae sana.
Pili maisha bora ya watanzania hayapo kwenye kula tu..na hakuna mtanzania aliyelalamika njaa. Mahitaji ya watanzania ni umeme, huduma za maji, huduma za afya na miundombinu. Ukiwaboreshea hapo tayari umerahisisha njia za utafutaji riziki.
Lissu ndiye rais wako wa awamu ya 6Lissu works for his masters (mabeberu)
Timu ya upande wa mboga mboga fc lazima ikimbieMkuu nadhani mdahalo ungekuwa poa sana,ili tuone hiyo mechi Kati ya Real Madrid na Lipuli inavyopigwa and in the end tuconclude who is utopolo and who is not
Ndio maana tunasema kuwepo mdahalo ili kupima maelezo ya wagombea.Kwanza tuna sheria ya maudhui..ukitaka kujua kauli anazotumia tundulisu tafuta interviews zake anazofanya na media za nje na hasa kenya. Kwa vyombo makini vya habari ni ngumu kufanya nae coverages. Hata kwenye hardtalk yule jamaa alikuwa anapingana nae sana.
Pili maisha bora ya watanzania hayapo kwenye kula tu..na hakuna mtanzania aliyelalamika njaa. Mahitaji ya watanzania ni umeme, huduma za maji, huduma za afya na miundombinu. Ukiwaboreshea hapo tayari umerahisisha njia za utafutaji riziki.
Ushuzi mtupu
Kwahiyo unataka kuniambia mgombea wetu hajui lugha ya malkia sawa sawa !.
Kama wanataka mdahalo saizi yake Lissu ni Mzee Rungwe Sipunda,hao wanaotaka mdahalo waambieni hatuli midahalo,sisi tunajua utendaji uliotukuka wa serikali ya CCM,ilani zinatekelezwa huyo wa midahalo akafanye na Sackur
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana huwezi kulinganisha na jf members. Kutoa maoni kwenye Uzi kama huu ni kujidhalilisha.
Tuliza mshono huo ili dawa ya mh Lissu ikuingie vizuri na upone
Mwaka huu lazima urudi kwenu mwambani ukaanze tena kazi yako ya kuuza mabichi na samaki wa ziwa rukwa
Magufuli alikuwa anajulikana CHATO tuu kipindi anateuliwa chama tu ndio kilimbeba Sana. Na ndio nyie mlisema hafai hata kuwa balozi wa nyumba kumi, leo mwasema tofauti
[emoji23][emoji23] nami namshangaa myoa post.anapiga kelele. Kama wanajiamini na mgombea wao waweke mdaharo. Nakuhakikishia watajutia kosa.
Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
Hakuna aliyeumbwa na hadhi ya kitu chochote hapa Duniani ni utafutaji tuNdugu zangu,
Kuna baadhi ya kikundi wanalazimisha kwa kufanya propaganda kuwa Tundu Lissu ni sawa na Raisi Magufuli, wanaenda mbali kwa kutaka ''mdahalo'', sijui nini na nini. Tuweke taarifa sawa, Tundu Lissu sifa zake ni hizi;
Kwa hoja hizo tatu itoshe kusema inashangaza kuona baadhi ya watu wanaoamini kuwa Tundu Lissu anamaanisha analolofanya kiasi cha kumlinganisha na Rais John Magufuli ambaye ametekeleza kwa kufanya mambo makubwa kwenye ujenzi wa nchi. Magufuli anapaswa kufanya yafuatayo;
- Anagombea urais kutafuta ruzuku ya chadema ili angalau baada ya uchaguzi aweze kupata chochote
- Anaogombea urais ili kuwaridhisha wafadhili wake; mfano mzuri hata hadhira na mambo anayozungumza yanahusu wakenya na wazungu.
- Tundu Lissu anaamini miundombinu, hospitali,shule nk ni maendeleo ya vitu sio watu; sasa hapa kufanya naye mjadala wenye akili watakushangaa. Ni sawa na kumkimbiza kichaa.
Aah itoshe kusema, Raisi Magufuli hahitaji kujieleza, yeye keshatenda. Ni jukumu la Lissu kuwaambia watanzani Je Barrick/Accacia wameshinda kesi MIGA?
- Anapaswa kwa makini kutulia na kuona ni jinsi gani atatimiza manifesto (ilani) ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ikumbukwe mambo mengi ametekeleza kuzidi matarajio (2015-2020) na sio kujadili mdahalo wa kujadili kuwa miundombinu ni maendeleo ya watu au vitu?
- Huyu ni mtu anayetumia akili kufikiri namna ya kuwaletea wananchi kwa kutumia rasilimali zilizopo na sio kufurahisha watu wa nje.
Wasalaam.
Huo utafiti uliufanya lini na wapi kuwa wananchi hawana hamu na CCM? Pia elewa kuwa tanzania hawaishi watumishi peke yake ambao wanategemea nyongeza za mishaharNa wale waliokatisha ghafla. Mkuu jiulize kwa nini pamojana madai ya kunyoosha nchi miaka minne wananchi hawana kabisa hamu na CCM, hapa ndio swali la msingi. Ukijiuliza hili swali litasaidia kwenye masuala ya sera na vipaumbele kama Taifa. Huwezi kutumia matrilioni kununua ndege zaidi ya 10 wakati hali ya maisha ya watumishi haiboreshwi kimaslahi. Sasa tunakopa tu kila siku hito stigler mpaka leo, hata nyumbani huwezi kukazania kununua sofa zuri halafu mnashindia mihogo hata protein hampati ili tu akija mgeni aone unaishi pazuri. Mtapata utapia mlo afya izorote mpate na magonjwa mwisho mfe.
Na amini ndugu uchaguzi ukiwa huru na haki kutatokea mshangao mkubwa sana
Ndiyo boys mfia chama! Najua kwako ni wakati wa kusahau shida zilizokuandama kwa miaka mitano! Chunga usijeambulia kofia na t-shirt! Safari hii unayempigania Hana uhakika wa kurejea hivyo sahau kuteuliwa!Kamanda tulia,jenga hoja acha kubwabwaja
Ndiyo boys mfia chama! Najua kwako ni wakati wa kusahau shida zilizokuandama kwa miaka mitano! Chunga usijeambulia kofia na t-shirt! Safari hii unayempigania Hana uhakika wa kurejea hivyo sahau kuteuliwa!