Hadi 75% ya akili zetu ni za kurithi (hereditary): Maamuzi yako kwenye ndoa ndiyo yatakayohukumu vizazi vyako

Hadi 75% ya akili zetu ni za kurithi (hereditary): Maamuzi yako kwenye ndoa ndiyo yatakayohukumu vizazi vyako

Mgambilwa ni mntu

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2017
Posts
2,869
Reaction score
3,187
Mapenzi ni tendo la hisia ya kupendana linalohusisha watu wawili ambalo hutokea baada ya kuvutiana kati yao. Mvuto hutokana na hisia za uzuri (beauty) wanazokuwa nazo kati yao hata kama wengine wanamuona aliyependwa kuwa ni mbaya sana (uzuri ni relative).

Wanaume wengi hutamani kuwa katika mahusiano ya kimapenzi na mwanamke mwenye mvuto (sexy na romantic), huku Mwanamke akitaka mwanaume hasa mwenye hela. Hata hivyo, linapokuja suala la ndoa, wanaume hupenda kuoa mwanamke hasa mwenye tabia nzuri, ndipo vigezo vya uzuri na elimu (kipato) vinafuatia, huku mwanamke kigezo kikibakia kilekile tu - hela!!!

Mojawapo ya mambo yanayosumbua kisaikolojia kwenye mahusiano ya ndoa ni mwanaume kuoa mwanamke kwa kigezo hasa cha uzuri wake, ama mwanamke kuolewa na mwanaume kwa kigezo cha hela zake tu. Hii imekuwa ikisababisha watoto wanaozaliwa kuwa na uwezo mdogo kiakili (endapo jeni za mama zime-dominate, hali inayoleta aibu kuwa na watoto wanashika namba za mwisho na kuishia kumwamisha shule za private kila leo.

Tatizo la kuoana kwa kufuata mvuto wa mtu (sexism na romanticism), limekuwa kubwa baada ya teknolojia ya [HASHTAG]#ICT[/HASHTAG] kurahisisha mawasiliano hasa ya picha mitandaoni.

Kitaalamu, mtoto anachukua hadi 75% ya jeni (genes) za wazazi wake akifikia utu uzima na mafanikio yake ya kimaisha, msingi wake mkuu ni akili za kurithi kutoka kwa wazazi wake. Kwa kuwa, mtoto amechukua akili za wazazi wake, hivyo amechukua za mababu zake na mababu kizaa babu zake etc, etc, etc.... Hapo ndipo mnapoona nguvu ya wazazi - familia - ukoo - kabila katika ku-shape akili zetu.

There's no way, we can afford to di-associate our collective intelligence to ethnicity, because intelligence is more of an hereditary (genetically) than environmental.

Kihistoria, Jamii za mwanzo kuishi Tanzania ni San/Bushmen (Hadzapi na Wasandawe), zikafuatia Jamii za Hamites (Iraqi), kisha wakawa Wabantu (asilimia 95% ya Watanzania), Highland Nilotes (Datooga), Plain Nilotes (Masaai) na River Nilotes (Wajaluo) Hivyo, Watanzania wa sasa, jeni zao zimetengenezwa na jamii hizo zilizokuwa zikigawanyika mara kwa mara kuunda jamii mpya kiasi cha kutengeneza makabila yapatayo 126 kufikia Uhuru mwaka 1961.

Kwa kuwa Jamii zenye nguvu kiteknolojia na kivita zilifanikiwa kujitwalia maeneo yenye hali nzuri ya hewa na rutuba na kuzisukuma jamii dhaifu katika maeneo makame, ni wazi tangu kipindi hicho, kumekuwepo na utofauti wa jamii hizo kiafya na kiakili kwa kuwa, Jamii nyingine zilikuwa na uhakika wa chakula, nyingine zikikabiliwa na njaa ya mara kwa mara.

Jamii zifuatazo Tanzania zimekuwa zikistawisha mazao ya kudumu ya chakula (hasa migomba) kutokana na mvua za uhakika (reliability) zinazonyesha kwa mwaka mzima na hivyo kuwa na uhakika wa chakula kwa muda wote. Jamii hizo hazikuwahi kukumbwa na njaa kiasi cha kuhitaji msaada wa chakula toka let's say serikalini.
  • Wanyakyusa
  • Wahaya
  • Wachaga
  • Wameru
  • Waangaza
  • Wandali
  • Waha (Buhigwe)
  • Wakurya
  • Wasambaa
  • Wadzungwa (wa kihehe)
  • Waluguru
  • Wazanzibar
  • Wakerewe
  • Wabondei
  • Wabena
Ndiyo maana Jamii hizo zina watu wengi wazuri upstairs, on per capita basis kulinganisha na jamii zinazokumbwa na baa la njaa mara kwa mara. So, hapa ndipo haja ya mtu kufuatilia vyema kabila na ukoo wa mwenza wako kwani ukimfahamu in and out unakuwa katika hatua nzuri ya kuamua badala ya kubaki na ningejua.

Intelligence genes discovered by scientists
Is Intelligence Hereditary?
 
Mazao makuu ya chakula ya asili pamoja na matunda na mbogamboga yanayositawi kwa wingi Tanzania ni:
1: Mtama (sorghum);
2: Migomba (banana)
3: Uwele (millets);
4: Mpunga (paddy);
5: Mahindi (maize) ;
6: Mihogo (cassava) ;
7: Viazi vitamu (sweet potatoes);
8: Maharage (beans);
9: Kunde (cowpeas)
10: Viazi mviringo (potatoes);
11: Viazi vikuu (yams)
12: Karanga (groundnuts)
13: Njugu (peanuts)
14: Miwa (sugarcane);
16: Nyanya (tomatoes);
17: Vitunguu (onions);
18: Nazi (coconuts);
19: Karafuu (kloves);
20: Michikichi (oil palms)
21: Machungwa (oranges)
22: Maembe (mangoes)
23: Mananasi (Pinneaple)
24: Mapapai (pawpaws)
25: Maparachichi (avocado)
26: Peazi (Peas)
27: Mapera (guava)
28: Korosho (cashew nuts)
29: Mastafeli (soursop)
30: Zabibu (grapes)
31: Limao (lemons)
32: Tikitimaji (water melon)
33: Kakao (cocoa)
34: Majani ya maboga
35: Kisamvu
36: Figiri
37: Mchicha
38: Matembele
39: Mlenda
40: Samaki
41: Kuku na bata
42: Ng'ombe na mbuzi
43: Nguruwe.

Baadhi ya Jamii kubwa hapa Tanzania, hasa Wanyakyusa, Wahaya, Waha, Wachaga, Waluguru, Wahehe, Wabena na Wasambaa wana maeneo yenye hali ya hewa tofauti tofauti ya kuweza kuivisha mazao karibia yote yaliyotajwa hivyo kuziwezesha Jamii zao kuwa na afya njema.
Mfano: Wanyakyusa hawazalishi: zabibu, uwele, mtama, korosho na karanga pekee.
Wahaya wao hawazalishi: zabibu, kakao, korosho, mpunga na peas pekee.
Kuna Jamii nyingi Tanzania hazina uwezo wa kuzalisha kwa wingi nusu ya mazao na mifugo iliyoorodheshwa hapo juu, hivyo jeni (genetics) za asili zao zinakuwa dhaifu (weak) kulinganisha na jamii ambazo zina uwezo wa kuzalisha mazao mengi na mifugo mingi.
 
Napenda niolewe na mwanaume mwenye akili. Kuna wanaume wenye pesa lkn walipata hizo pesa kwa njia za ajabu au ni za urithi, so to me kigezo no 1 ni akili.
Uko sahihi kabisa. Njia rahisi sana ya wewe kuishi vyema maisha ya furaha ni kuwa na watoto wanaoshinda mitihani ya darasani na ya kimaisha at easy. Kwa kuwa huwa vigumu mtihani wa kimaisha kuushinda, wengi huwa tunajikuta tunaweka nguvu kwenye kusoma. So kama wewe na ukoo wenu mna akili za darasani, basi utapenda pia utakaowazaa wafuate nyayo zako.
 
Napenda niolewe na mwanaume mwenye akili. Kuna wanaume wenye pesa lkn walipata hizo pesa kwa njia za ajabu au ni za urithi, so to me kigezo no 1 ni akili.
Asilimia kubwa mtoto huchukua akili za upande wa mama yake, ukiona mwanao ni kilaza jua mambo yako mwanamke hayakuwa vizuri, au mazingira kwa maana ya malezi si mazuri kwa mtoto.
 
Kwanini sisi Wasukuma hujatuzungumzia hata kidogo?

Unataka kupimwa mkojo au?
Wasukuma baada ya Wanyamwezi ndio walio na eneo kubwa kuliko makabila yote Tanzania. Hata hivyo, tatizo la ardhi ya usukumani, kama ilivyo kwa Ukanda wote wa Kati ya Nchi ni kupata kiwango kidogo cha mvua (chini ya mm 1,000). Licha ya Mikoa ya Mwanza, Geita na Simiyu na Shinyanga (Usukumani) kupata mvua za vuli kuanzia Mwezi Oktoba, bado huwa siyo za kuaminika (unreliable) kulinganisha na maeneo mengine nchini yanayopata mvua nyingi za vuli hasa Mikoa ya Kagera, Mara, Kilimanjaro, Tanga na Zanzibar.
Ni vyema watu wafahamu kuwa, katika Nchi za Tropiki, Mvua za Vuli ndizo za muhimu kwa kilimo kuliko za masika ambayo huwa ni nyingi kwa kuwa mvua hizo ndizo za kupandia mazao.
Aidha, maeneo yote nchini yanayopata mvua zisizofikia MM 1,200, hayazalishi matunda mengi na ya aina mbalimbali hivyo, ukosefu wa vyakula vya vitamin C vya kusaidia kukabiliana magonjwa hatari ya kitropiki hasa: Malaria, Homa ya Manjano (Yellow Fever) Malale (Sleeping Sickness/Trypanosomiasis) na Kichocho (Bilharzia/Schistosomiasis).
 
Asante kwa kutushushia hizi nondo za kihistoria na kibailojia!
 
Kipimo bora cha kujua ubora wa eneo lenu la asili, ni kufuatilia ujue kama linastawisha migomba kwa kiwango cha kutosha kwani migomba hustawi vyema tu kwenye maeneo yanayopata mvua za kutosha (mm 100 kila mwezi) kwa miezi isiyopungua Nane (08) kwani migomba haivumilii ukame wa zaidi ya miezi mitatu.
Maeneo yote Tanzania ambayo wananchi wake wanategemea ndizi yanapata mvua nyingi kwa karibia mwaka mzima, hivyo maeneo hayo yanaweza kuzalisha vyakula vingine kwa wingi hasa matunda na mbogamboga.
Kama eneo lenu halipati mvua ya kutosha kwa miezi hata minne tu (let's say Juni - Oktoba) ujue kamwe eneo hilo halina ubora kwenye uzalishaji wa vyakula Kama maeneo mengine hata kama linapata mvua nyingi (heavy rainfall).
Mfano: Mahenge ya Wapogoro ni mojawapo ya maeneo yanayopata mvua nyingi hapa Tanzania (mm 1,800), ikiwa nyuma tu ya Wanyaki (Rungwe, Busokelo na Kyela), Wahaya (Bukoba) na Wazanzibar (Pemba na Unguja) na Wawanji (Makete) lakini haizalishi ndizi nyingi kwa kuwa mvua nyingi (mm 100) zinanyesha kwa miezi Saba pekee.
Vilevile, Lupembe ya Wabena inapata mvua nyingi zaidi ya mm 1,600 but ndizi hazistawi sana kutokana na mvua ya kutosha kunyesha kwa miezi Saba (07) pekee sawa na ukame wa miezi mitano (05).
 
Mkuu mleta mada mimi ni mchaga nimeoa mnyaturu na tuna mtoto. Vipi akili ya huyo mtoto kwa gen hio?
 
Mkuu mleta mada mimi ni mchaga nimeoa mnyaturu na tuna mtoto. Vipi akili ya huyo mtoto kwa gen hio?
Nashukuru kwa swali zuri lenye akili.
Kwanza lazima uelewe kuwa Wanyaturu ni Wabantu lakini waliochanganya kwa kiwango kikubwa, damu za Kushites (Wambulu), Hamites (Alagwa/Asu), Nilotes (Datooga) na San
/Bushmen (Hadzabe na Wasandawe). Endapo huyo Mnyaturu atakuwa amechukua nguvu zake hasa kwa Wambulu/Wagorowa/Waalagwa na Wadatooga (Waberbaig), basi atakuwa na akili kuliko Mnyaturu mwenye damu ya Kibantu 100%.
Hata hivyo, kama umeoa Mnyaturu mwenye damu nyingi ya Kisandawe ama Kihadzabe, una nafasi ndogo sana ya kuzaa mtoto mwenye akili kuliko kabila lolote hapa Tanzania.
Hivyo, ombea tu damu yako ya Kichaga ndio itawale kuliko otherwise kwa sababu hakutakuwepo guarantee.
Hii inasema hivi coz eneo linalozunguka Wanyaturu, kwa pamoja na la Wadatooga, ndilo lenye mchanganyiko wa Races nyingi zaidi kuliko sehemu yoyote hapa Tanzania, pamoja na Bara la Afrika na Duniani kote.
Hiyo ilitokana na Wabantu (migration) kuwasukumia maeneo yenye ukame, Jamii za Kushitic, Hamitic, Highland Nilotic, pamoja na San/Bushmen.
 
Mapenzi ni tendo la hisia ya kupendana linalohusisha watu wawili ambalo hutokea baada ya kuvutiana kati yao. Mvuto hutokana na hisia za uzuri (beauty) wanazokuwa nazo kati yao hata kama wengine wanamuona aliyependwa kuwa ni mbaya sana (uzuri ni relative).
Wanaume wengi hutamani kuwa katika mahusiano ya kimapenzi na mwanamke mwenye mvuto (sexy na romantic), huku Mwanamke akitaka mwanaume hasa mwenye hela. Hata hivyo, linapokuja suala la ndoa, wanaume hupenda kuoa mwanamke hasa mwenye tabia nzuri, ndipo vigezo vya uzuri na elimu (kipato) vinafuatia, huku mwanamke kigezo kikibakia kilekile tu - hela!!!
Mojawapo ya mambo yanayosumbua kisaikolojia kwenye mahusiano ya ndoa ni mwanaume kuoa mwanamke kwa kigezo hasa cha uzuri wake, ama mwanamke kuolewa na mwanaume kwa kigezo cha hela zake tu. Hii imekuwa ikisababisha watoto wanaozaliwa kuwa na uwezo mdogo kiakili (endapo jeni za mama zime-dominate, hali inayoleta aibu kuwa na watoto wanashika namba za mwisho na kuishia kumwamisha shule za private kila leo.
Tatizo la kuoana kwa kufuata mvuto wa mtu (sexism na romanticism), limekuwa kubwa baada ya teknolojia ya [HASHTAG]#ITC[/HASHTAG] kurahisisha mawasiliano hasa ya picha mitandaoni.

Kitaalamu, mtoto anachukua hadi 75% ya jeni (genes) za wazazi wake akifikia utu uzima na mafanikio yake ya kimaisha, msingi wake mkuu ni akili za kurithi kutoka kwa wazazi wake. Kwa kuwa, mtoto amechukua akili za wazazi wake, hivyo amechukua za mababu zake na mababu kizaa babu zake etc, etc, etc.... Hapo ndipo mnapoona nguvu ya wazazi - familia - ukoo - kabila katika ku-shape akili zetu.
There's no way, we can afford to di-associate our collective intelligence to ethnicity, because intelligence is more of an hereditary (genetically) than environmental.

Kihistoria, Jamii za mwanzo kuishi Tanzania ni San/Bushmen (Hadzapi na Wasandawe), zikafuatia Jamii za Hamites (Iraqi), kisha wakawa Wabantu (asilimia 95% ya Watanzania), Highland Nilotes (Datooga), Plain Nilotes (Masaai) na River Nilotes (Wajaluo) Hivyo, Watanzania wa sasa, jeni zao zimetengenezwa na jamii hizo zilizokuwa zikigawanyika mara kwa mara kuunda jamii mpya kiasi cha kutengeneza makabila yapatayo 126 kufikia Uhuru mwaka 1961.
Kwa kuwa Jamii zenye nguvu kiteknolojia na kivita zilifanikiwa kujitwalia maeneo yenye hali nzuri ya hewa na rutuba na kuzisukuma jamii dhaifu katika maeneo makame, ni wazi tangu kipindi hicho, kumekuwepo na utofauti wa jamii hizo kiafya na kiakili kwa kuwa, Jamii nyingine zilikuwa na uhakika wa chakula, nyingine zikikabiliwa na njaa ya mara kwa mara.
Jamii zifuatazo Tanzania zimekuwa zikistawisha mazao ya kudumu ya chakula (hasa migomba) kutokana na mvua za uhakika (reliability) zinazonyesha kwa mwaka mzima na hivyo kuwa na uhakika wa chakula kwa muda wote. Jamii hizo hazikuwahi kukumbwa na njaa kiasi cha kuhitaji msaada wa chakula toka let's say serikalini.
  • Wanyakyusa
  • Wahaya
  • Wachaga
  • Wameru
  • Waangaza
  • Wandali
  • Waha (Buhigwe)
  • Waluguru
  • Wakurya
  • Wasambaa
  • Wadzungwa (wa kihehe)
  • Wazanzibar
  • Wakerewe
  • Wabondei
  • Wabena
Ndiyo maana Jamii hizo zina watu wengi wazuri upstairs, on per capita basis kulinganisha na jamii zinazokumbwa na baa la njaa mara kwa mara. So, hapa ndipo haja ya mtu kufuatilia vyema kabila na ukoo wa mwenza wako kwani ukimfahamu in and out unakuwa katika hatua nzuri ya kuamua badala ya kubaki na ningejua.

Intelligence genes discovered by scientists
Is Intelligence Hereditary?
Hongera umenijuza kitu
 
Kielelezo na mfano hai ni Jiwe na Bashite
Hapana mzee, ukiongelea individuals kamwe hautaielewa dhana ya genetics (DNA). Dhana hiyo inafanya vyema katika jamii na siyo kwa mtu mmoja mmoja. Ndiyo maana makabila yanayofanya vyema kielimu pia yanayopata watu vilaza kabisa huku yasiyofanya vyema yakiwa na watu vichwa ama vipanga.
Mfano mzuri ni akina Palamagamba Kabudi (Mgogo), Tundu Lissu (Mnyaturu?), Andrew Chenge (Msukuma) etc. La muhimu ni kuwa, kila kabila lina vipanga ila tofauti inakuja on average.
 
Nashukuru kwa swali zuri lenye akili.
Kwanza lazima uelewe kuwa Wanyaturu ni Wabantu lakini waliochanganya kwa kiwango kikubwa, damu za Kushites (Wambulu), Hamites (Alagwa/Asu), Nilotes (Datooga) na San
/Bushmen (Hadzabe na Wasandawe). Endapo huyo Mnyaturu atakuwa amechukua nguvu zake hasa kwa Wambulu/Wagorowa/Waalagwa na Wadatooga (Waberbaig), basi atakuwa na akili kuliko Mnyaturu mwenye damu ya Kibantu 100%.
Hata hivyo, kama umeoa Mnyaturu mwenye damu nyingi ya Kisandawe ama Kihadzabe, una nafasi ndogo sana ya kuzaa mtoto mwenye akili kuliko kabila lolote hapa Tanzania.
Hivyo, ombea tu damu yako ya Kichaga ndio itawale kuliko otherwise kwa sababu hakutakuwepo guarantee.
Hii inasema hivi coz eneo linalozunguka Wanyaturu, kwa pamoja na la Wadatooga, ndilo lenye mchanganyiko wa Races nyingi zaidi kuliko sehemu yoyote hapa Tanzania, pamoja na Bara la Afrika na Duniani kote.
Hiyo ilitokana na Wabantu (migration) kuwasukumia maeneo yenye ukame, Jamii za Kushitic, Hamitic, Highland Nilotic, pamoja na San/Bushmen.
Nashukuru sana mkuu kwa jibu lako ambalo nadhani litaniweka pazuri nisije kumhukum mtoto angali wahusika ni sisi wazazi. Maada sijachimba sana undami wa mama mtoto hivyo siwezi kujua kama ni mlolongo wa wasandawe ama wambulu. Lakini sura imekaa kaa kama kimbilu mbulu vile[emoji2] [emoji2] lakini yote ya yote maisha maisha lazima yaendelee. Uwe na nyakati njema mkuu thank so march.
 
Napenda niolewe na mwanaume mwenye akili. Kuna wanaume wenye pesa lkn walipata hizo pesa kwa njia za ajabu au ni za urithi, so to me kigezo no 1 ni akili.
Akili bila mali ni sawa na debe tupu :
Kigezo 1 hela
Kigezo 2 hela
Kigezo 3 Pesa
Hata ukiwa mbumbumbu ukiwa na hela utaitwa mh
 
Back
Top Bottom