Mgambilwa ni mntu
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 2,869
- 3,187
Mapenzi ni tendo la hisia ya kupendana linalohusisha watu wawili ambalo hutokea baada ya kuvutiana kati yao. Mvuto hutokana na hisia za uzuri (beauty) wanazokuwa nazo kati yao hata kama wengine wanamuona aliyependwa kuwa ni mbaya sana (uzuri ni relative).
Wanaume wengi hutamani kuwa katika mahusiano ya kimapenzi na mwanamke mwenye mvuto (sexy na romantic), huku Mwanamke akitaka mwanaume hasa mwenye hela. Hata hivyo, linapokuja suala la ndoa, wanaume hupenda kuoa mwanamke hasa mwenye tabia nzuri, ndipo vigezo vya uzuri na elimu (kipato) vinafuatia, huku mwanamke kigezo kikibakia kilekile tu - hela!!!
Mojawapo ya mambo yanayosumbua kisaikolojia kwenye mahusiano ya ndoa ni mwanaume kuoa mwanamke kwa kigezo hasa cha uzuri wake, ama mwanamke kuolewa na mwanaume kwa kigezo cha hela zake tu. Hii imekuwa ikisababisha watoto wanaozaliwa kuwa na uwezo mdogo kiakili (endapo jeni za mama zime-dominate, hali inayoleta aibu kuwa na watoto wanashika namba za mwisho na kuishia kumwamisha shule za private kila leo.
Tatizo la kuoana kwa kufuata mvuto wa mtu (sexism na romanticism), limekuwa kubwa baada ya teknolojia ya [HASHTAG]#ICT[/HASHTAG] kurahisisha mawasiliano hasa ya picha mitandaoni.
Kitaalamu, mtoto anachukua hadi 75% ya jeni (genes) za wazazi wake akifikia utu uzima na mafanikio yake ya kimaisha, msingi wake mkuu ni akili za kurithi kutoka kwa wazazi wake. Kwa kuwa, mtoto amechukua akili za wazazi wake, hivyo amechukua za mababu zake na mababu kizaa babu zake etc, etc, etc.... Hapo ndipo mnapoona nguvu ya wazazi - familia - ukoo - kabila katika ku-shape akili zetu.
There's no way, we can afford to di-associate our collective intelligence to ethnicity, because intelligence is more of an hereditary (genetically) than environmental.
Kihistoria, Jamii za mwanzo kuishi Tanzania ni San/Bushmen (Hadzapi na Wasandawe), zikafuatia Jamii za Hamites (Iraqi), kisha wakawa Wabantu (asilimia 95% ya Watanzania), Highland Nilotes (Datooga), Plain Nilotes (Masaai) na River Nilotes (Wajaluo) Hivyo, Watanzania wa sasa, jeni zao zimetengenezwa na jamii hizo zilizokuwa zikigawanyika mara kwa mara kuunda jamii mpya kiasi cha kutengeneza makabila yapatayo 126 kufikia Uhuru mwaka 1961.
Kwa kuwa Jamii zenye nguvu kiteknolojia na kivita zilifanikiwa kujitwalia maeneo yenye hali nzuri ya hewa na rutuba na kuzisukuma jamii dhaifu katika maeneo makame, ni wazi tangu kipindi hicho, kumekuwepo na utofauti wa jamii hizo kiafya na kiakili kwa kuwa, Jamii nyingine zilikuwa na uhakika wa chakula, nyingine zikikabiliwa na njaa ya mara kwa mara.
Jamii zifuatazo Tanzania zimekuwa zikistawisha mazao ya kudumu ya chakula (hasa migomba) kutokana na mvua za uhakika (reliability) zinazonyesha kwa mwaka mzima na hivyo kuwa na uhakika wa chakula kwa muda wote. Jamii hizo hazikuwahi kukumbwa na njaa kiasi cha kuhitaji msaada wa chakula toka let's say serikalini.
Intelligence genes discovered by scientists
Is Intelligence Hereditary?

- Wanyakyusa
- Wahaya
- Wachaga
- Wameru
- Waangaza
- Wandali
- Waha (Buhigwe)
- Wakurya
- Wasambaa
- Wadzungwa (wa kihehe)
- Waluguru
- Wazanzibar
- Wakerewe
- Wabondei
- Wabena