Hadi huruma. Samia Suluhu kawa mdogo. Kifo kisikie kwa jirani

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Deogratius Ndejembi, Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi, Dkt. Mwigulu Nchemba pamoja na viongozi mbalimbali wa vyama na Serikali na wananchi, wamefika nyumbani kwa Mzanzibari Samia Suluhu Hassan Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja, kumfariji kufuatia kifo cha Mume wake, Hafidh Ameir Hassan aliyefariki dunia leo.

Wamekuta kawa mdogo. Yaani mdogo kama Piriton. Who are you haipo tena. Wala zile tambo za mimi ndo Rais wa JMT.

Dunia simama nishuke. 🤣🤣🤣
IMG-20260907-WA0076.jpg
IMG-20260907-WA0079.jpg
IMG-20260907-WA0077.jpg
IMG-20260907-WA0078.jpg
 
Makamu wa Rais, Deogratius Ndejembi, Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi, Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba pamoja na viongozi mbalimbali wa vyama na Serikali na wananchi, wamefika nyumbani kwa Mzanzibari Samia Suluhu Hassan Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja, kumfariji kufuatia kifo cha Mume wake, Hafidh Ameir Hassan aliyefariki dunia leo. Wamekuta kawa mdogo. Yaani mdogo kama Piriton. Who are you haipo tena.

Dunia simama nishuke. 🤣🤣🤣
View attachment 3665461View attachment 3665462View attachment 3665463View attachment 3665464
Acha ushabiki km mwehu, kawa piriton kivipi, ulitaka afanyeje? Mbn mko wanyama wa mwituni wasio na akili?
 
Alikuwa anasema wazazi waongee na watoto wao nje ya hapo risasi ni halali yao, ndio ujue uchungu wa kupotelewa na mpendwa wako ukoje!
 
Makamu wa Rais, Deogratius Ndejembi, Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi, Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba pamoja na viongozi mbalimbali wa vyama na Serikali na wananchi, wamefika nyumbani kwa Mzanzibari Samia Suluhu Hassan Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja, kumfariji kufuatia kifo cha Mume wake, Hafidh Ameir Hassan aliyefariki dunia leo. Wamekuta kawa mdogo. Yaani mdogo kama Piriton. Who are you haipo tena.

Dunia simama nishuke. 🤣🤣🤣
View attachment 3665461View attachment 3665462View attachment 3665463View attachment 3665464
Sasa kama mnavyojua mwanamke upande wa uislam akifiwa na mumewe anakaa ndani cku 40 sasa huyu Rais wetu ataa hivyo hila kuonekana popote au kuongea chochote?
 
Alikuwa anasema wazazi waongee na watoto wao nje ya hapo risasi ni halali yao, ndio ujue uchungu wa kupotelewa na mpendwa wako ukoje!
Sasa kiti hakikaliki. Kiti kikubwa, Anasimamia kucha kwa kuegemea kiti. Au kaambiwa usikalie kiti sio salama? Labda kina misumali. Hii style ya kukaa kwenye kiti nimeiona leo
Screenshot_20260907_205237_Chrome.jpg
 
Deogratius Ndejembi, Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi, Dkt. Mwigulu Nchemba pamoja na viongozi mbalimbali wa vyama na Serikali na wananchi, wamefika nyumbani kwa Mzanzibari Samia Suluhu Hassan Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja, kumfariji kufuatia kifo cha Mume wake, Hafidh Ameir Hassan aliyefariki dunia leo.

Wamekuta kawa mdogo. Yaani mdogo kama Piriton. Who are you haipo tena. Wala zile tambo za mimi ndo Rais wa JMT.

Dunia simama nishuke. 🤣🤣🤣
View attachment 3665461View attachment 3665462View attachment 3665463View attachment 3665464
ok.🐒
 
Kila mmoja amewahi kuonja machungu ya kufiwa

Ndiyo maana kumewahi kuwepo msemo wa "kulia kupokezana"

Poleni Watanzania kwa msiba
 
Back
Top Bottom