Hadi huruma. Samia Suluhu kawa mdogo. Kifo kisikie kwa jirani

Hivi hapo nyumbani kwake napo ni lazima akalie hicho kiti Cha ofisini hata akiwa kwenye shuguli isiyo ya kiofisi pia hizo bendera hapo nyuma ni za kazi Gani akiwa nyumbani au kwenye shuguli isiyo ya kiserikali hasa nyumbani

Naomba kuelimishwa Wana jf

Mie mwenyewe nimeshangaa, maana hapo sio ikulu Tungu, hapo ni kizimkazi kwake binafsi, sasa bendera na kiti chekundu hicho cha nini?
 
Deogratius Ndejembi, Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi, Dkt. Mwigulu Nchemba pamoja na viongozi mbalimbali wa vyama na Serikali na wananchi, wamefika nyumbani kwa Mzanzibari Samia Suluhu Hassan Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja, kumfariji kufuatia kifo cha Mume wake, Hafidh Ameir Hassan aliyefariki dunia leo.

Wamekuta kawa mdogo. Yaani mdogo kama Piriton. Who are you haipo tena. Wala zile tambo za mimi ndo Rais wa JMT.

Dunia simama nishuke. 🤣🤣🤣
View attachment 3665461View attachment 3665462View attachment 3665463View attachment 3665464
Mungu hajapiga panapouma, tunamuomba Mungu apige kwenye mshono
 
Deogratius Ndejembi, Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi, Dkt. Mwigulu Nchemba pamoja na viongozi mbalimbali wa vyama na Serikali na wananchi, wamefika nyumbani kwa Mzanzibari Samia Suluhu Hassan Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja, kumfariji kufuatia kifo cha Mume wake, Hafidh Ameir Hassan aliyefariki dunia leo.

Wamekuta kawa mdogo. Yaani mdogo kama Piriton. Who are you haipo tena. Wala zile tambo za mimi ndo Rais wa JMT.

Dunia simama nishuke. 🤣🤣🤣
View attachment 3665461View attachment 3665462View attachment 3665463View attachment 3665464
Heri amefiwa aonje mateso waliyopata waliouliwa ndugu zao Oktoba 29, 2025.
 
Deogratius Ndejembi, Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi, Dkt. Mwigulu Nchemba pamoja na viongozi mbalimbali wa vyama na Serikali na wananchi, wamefika nyumbani kwa Mzanzibari Samia Suluhu Hassan Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja, kumfariji kufuatia kifo cha Mume wake, Hafidh Ameir Hassan aliyefariki dunia leo.

Wamekuta kawa mdogo. Yaani mdogo kama Piriton. Who are you haipo tena. Wala zile tambo za mimi ndo Rais wa JMT.

Dunia simama nishuke. 🤣🤣🤣
View attachment 3665461View attachment 3665462View attachment 3665463View attachment 3665464
Una uhakika kawa mdogo? Ukishatoa roho za watu zaidi ya 500 na bila ya kuwa na a slightest remorse vipi ahuzinishwe na msiba wa mtu mmoja?
 
Nimependa Sana Maisha ya Mzee Hafidh Ameir ili kitendo cha Kuwa Low key Ile Hali amezungukwa na Kila sababu ya Kufanya awe kambale hakika na Kalama aliyekuwa nayo Mzee wetu huyu,

Apumzike mahali Pema peponi
 
Back
Top Bottom