Deogratius Ndejembi, Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi, Dkt. Mwigulu Nchemba pamoja na viongozi mbalimbali wa vyama na Serikali na wananchi, wamefika nyumbani kwa Mzanzibari Samia Suluhu Hassan Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja, kumfariji kufuatia kifo cha Mume wake, Hafidh Ameir Hassan aliyefariki dunia leo.
Wamekuta kawa mdogo. Yaani mdogo kama Piriton. Who are you haipo tena. Wala zile tambo za mimi ndo Rais wa JMT.
Dunia simama nishuke. 🤣🤣🤣
View attachment 3665461View attachment 3665462View attachment 3665463View attachment 3665464