figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Acha ushabiki km mwehu, kawa piriton kivipi, ulitaka afanyeje? Mbn mko wanyama wa mwituni wasio na akili?Makamu wa Rais, Deogratius Ndejembi, Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi, Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba pamoja na viongozi mbalimbali wa vyama na Serikali na wananchi, wamefika nyumbani kwa Mzanzibari Samia Suluhu Hassan Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja, kumfariji kufuatia kifo cha Mume wake, Hafidh Ameir Hassan aliyefariki dunia leo. Wamekuta kawa mdogo. Yaani mdogo kama Piriton. Who are you haipo tena.
Dunia simama nishuke. 🤣🤣🤣
View attachment 3665461View attachment 3665462View attachment 3665463View attachment 3665464
Sasa kama mnavyojua mwanamke upande wa uislam akifiwa na mumewe anakaa ndani cku 40 sasa huyu Rais wetu ataa hivyo hila kuonekana popote au kuongea chochote?Makamu wa Rais, Deogratius Ndejembi, Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi, Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba pamoja na viongozi mbalimbali wa vyama na Serikali na wananchi, wamefika nyumbani kwa Mzanzibari Samia Suluhu Hassan Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja, kumfariji kufuatia kifo cha Mume wake, Hafidh Ameir Hassan aliyefariki dunia leo. Wamekuta kawa mdogo. Yaani mdogo kama Piriton. Who are you haipo tena.
Dunia simama nishuke. 🤣🤣🤣
View attachment 3665461View attachment 3665462View attachment 3665463View attachment 3665464
Hahahaa.. Hapo nicheke kwanza. Pumzika kwa amani Mdude Nyagali. Pumzika kwa amani Deus Soka.kawa piriton kivipi, ulitaka afanyeje? Mbn mko wanyama wa mwituni wasio na akili?
Sasa kiti hakikaliki. Kiti kikubwa, Anasimamia kucha kwa kuegemea kiti. Au kaambiwa usikalie kiti sio salama? Labda kina misumali. Hii style ya kukaa kwenye kiti nimeiona leoAlikuwa anasema wazazi waongee na watoto wao nje ya hapo risasi ni halali yao, ndio ujue uchungu wa kupotelewa na mpendwa wako ukoje!
ok.🐒Deogratius Ndejembi, Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi, Dkt. Mwigulu Nchemba pamoja na viongozi mbalimbali wa vyama na Serikali na wananchi, wamefika nyumbani kwa Mzanzibari Samia Suluhu Hassan Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja, kumfariji kufuatia kifo cha Mume wake, Hafidh Ameir Hassan aliyefariki dunia leo.
Wamekuta kawa mdogo. Yaani mdogo kama Piriton. Who are you haipo tena. Wala zile tambo za mimi ndo Rais wa JMT.
Dunia simama nishuke. 🤣🤣🤣
View attachment 3665461View attachment 3665462View attachment 3665463View attachment 3665464
Hadi pete ya ndoa kavua na kutupe kule takatakaMbona haoneshi kuwa mdogo kama pirton!