Mpumbavu tu huyo anajifanya kuhuzunika wakati kazi yake kubwa ni uongo na kuua. Stupid.Sasa kiti hakikaliki. Kiti kikubwa, Anasimamia kucha kwa kuegemea kiti. Au kaambiwa usikalie kiti sio salama? Labda kina misumali. Hii style ya kukaa kwenye kiti nimeiona leo
View attachment 3665466
Unajua uislam wewe?Sasa kama mnavyojua mwanamke upande wa uislam akifiwa na mumewe anakaa ndani cku 40 sasa huyu Rais wetu ataa hivyo hila kuonekana popote au kuongea chochote?
Ktk uislam hakuna Pete ya ndoaHadi pete ya ndoa kavua na kutupe kule takataka
Nimesikitika sana.Sasa kiti hakikaliki. Kiti kikubwa, Anasimamia kucha kwa kuegemea kiti. Au kaambiwa usikalie kiti sio salama? Labda kina misumali. Hii style ya kukaa kwenye kiti nimeiona leo
View attachment 3665466
Alijisemea kifo ni kifo tu.Kufa kufa tu so what's?
Kazi ni kipimo cha utu
Kila mmoja amewahi kuonja machungu ya kufiwa
Ndiyo maana kumewahi kuwepo msemo wa "kulia kupokezana"
Poleni Watanzania kwa msiba
Kila nafsi itaonja mauti π₯²Tutendee haki . Watz hatuna msiba siye. Kifo ni kifo tu
Itoshe uyu mzee wenda alikua na damu ya tofauti, pamoja na mamlaka flani kama baba ,hakuwahi kuwa kambare, Hekima ya Mungu ikawe juu yake huko maana wote wa huko , ni viburi tu vyawasumbua wanadamu , lala pema mzee na sio kuwa ulikua nani nyuma yako naongea kibinadamu tu .Deogratius Ndejembi, Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi, Dkt. Mwigulu Nchemba pamoja na viongozi mbalimbali wa vyama na Serikali na wananchi, wamefika nyumbani kwa Mzanzibari Samia Suluhu Hassan Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja, kumfariji kufuatia kifo cha Mume wake, Hafidh Ameir Hassan aliyefariki dunia leo.
Wamekuta kawa mdogo. Yaani mdogo kama Piriton. Who are you haipo tena. Wala zile tambo za mimi ndo Rais wa JMT.
Dunia simama nishuke. π€£π€£π€£
View attachment 3665461View attachment 3665462View attachment 3665463View attachment 3665464
Kipindi hicho anakuwa wapieda ni miez mi 4 na siku 10
Wanyama wa mwituni ni wale wanaoteka watanganyika wanaowakosoa...yaani wale walioamuru mauaji ya watanganyika ile 29 octoba!.Acha ushabiki km mwehu, kawa piriton kivipi, ulitaka afanyeje? Mbn mko wanyama wa mwituni wasio na akili?
Nenda kachukue ubwabwa kizimkaziniSasa kama mnavyojua mwanamke upande wa uislam akifiwa na mumewe anakaa ndani cku 40 sasa huyu Rais wetu ataa hivyo hila kuonekana popote au kuongea chochote?
Picha ya yule kijana ambae hata traffic police wakimsimamisha hasimami iko wapi?
Ila haters wa Samia bwana, dah!!!
Kwa niaba ya Mama Janet Pombe Magufuli
πππππππππππ