Hivi hapo nyumbani kwake napo ni lazima akalie hicho kiti Cha ofisini hata akiwa kwenye shuguli isiyo ya kiofisi pia hizo bendera hapo nyuma ni za kazi Gani akiwa nyumbani au kwenye shuguli isiyo ya kiserikali hasa nyumbani
Naomba kuelimishwa Wana jf
Ngoja watu wa protokali waje watuambie hii imekaajeMie mwenyewe nimeshangaa, maana hapo sio ikulu Tungu, hapo ni kizimkazi kwake binafsi, sasa bendera na kiti chekundu hicho cha nini?
Mungu hajapiga panapouma, tunamuomba Mungu apige kwenye mshonoDeogratius Ndejembi, Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi, Dkt. Mwigulu Nchemba pamoja na viongozi mbalimbali wa vyama na Serikali na wananchi, wamefika nyumbani kwa Mzanzibari Samia Suluhu Hassan Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja, kumfariji kufuatia kifo cha Mume wake, Hafidh Ameir Hassan aliyefariki dunia leo.
Wamekuta kawa mdogo. Yaani mdogo kama Piriton. Who are you haipo tena. Wala zile tambo za mimi ndo Rais wa JMT.
Dunia simama nishuke. 🤣🤣🤣
View attachment 3665461View attachment 3665462View attachment 3665463View attachment 3665464
Hili jimama linaongoza nchi kifalmeMie mwenyewe nimeshangaa, maana hapo sio ikulu Tungu, hapo ni kizimkazi kwake binafsi, sasa bendera na kiti chekundu hicho cha nini?
Heri amefiwa aonje mateso waliyopata waliouliwa ndugu zao Oktoba 29, 2025.Deogratius Ndejembi, Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi, Dkt. Mwigulu Nchemba pamoja na viongozi mbalimbali wa vyama na Serikali na wananchi, wamefika nyumbani kwa Mzanzibari Samia Suluhu Hassan Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja, kumfariji kufuatia kifo cha Mume wake, Hafidh Ameir Hassan aliyefariki dunia leo.
Wamekuta kawa mdogo. Yaani mdogo kama Piriton. Who are you haipo tena. Wala zile tambo za mimi ndo Rais wa JMT.
Dunia simama nishuke. 🤣🤣🤣
View attachment 3665461View attachment 3665462View attachment 3665463View attachment 3665464
Una uhakika kawa mdogo? Ukishatoa roho za watu zaidi ya 500 na bila ya kuwa na a slightest remorse vipi ahuzinishwe na msiba wa mtu mmoja?Deogratius Ndejembi, Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi, Dkt. Mwigulu Nchemba pamoja na viongozi mbalimbali wa vyama na Serikali na wananchi, wamefika nyumbani kwa Mzanzibari Samia Suluhu Hassan Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja, kumfariji kufuatia kifo cha Mume wake, Hafidh Ameir Hassan aliyefariki dunia leo.
Wamekuta kawa mdogo. Yaani mdogo kama Piriton. Who are you haipo tena. Wala zile tambo za mimi ndo Rais wa JMT.
Dunia simama nishuke. 🤣🤣🤣
View attachment 3665461View attachment 3665462View attachment 3665463View attachment 3665464
Sasa kunuwea kwa lipi, lissu amekuwa Raisi au?!!!!!!!Leo uko mdogo, umenywea, nywiiii
Mxxxiiiieeeeew
Yaani wewe ulivyo mnduku mkubwa, unafikiri kwa umri ule mkubwa alionao hajawahi kufiwa?!!! Pumbaaavu sana kina nyumbuHeri amefiwa aonje mateso waliyopata waliouliwa ndugu zao Oktoba 29, 2025.