MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #21
Kenya namba zashuka licha ya kuchukua tahadhari TOKA MWANZO? Cases ni ngapi na fatalities ni ngapi?
Mkuu, hii sio ligi.
Kenya tunapima 800 kwa siku, hivyo lazima namba zipandishe
Jiulize tunapima watu 800 ndani ya masaa 24 na kupata waathirika sita (6)
Nyie ambao mlikua mnapima kumi kwa siku, sasa sijui mumejitumia na kupima wangapi kwa siku hadi mpate waathirika 53 kwa mkupuo ndani ya masaa 24
Chukueni tahadhari, acheni ukaidi, sisi wote ni waumini wa Mungu, na tumechukua tahadhari, hatusongamani kwenye makanisa wala misikitini, vilabu vya pombe vimefungwa, mkikutwa zaidi ya watu tano mumesongamana mnakamatwa, tumia hekima acheni ukaidi.
Kuna hii tweet inazunguka kwenye mitandao, isklize kisha uombe na kuchukua tahadhari, wahubirie ndugu zako huu sio muda wa kubweteka