Hadi Kenya inabezwa kanisani kule Tanzania, ndugu zetu huu ujasiri mnautoa wapi?

Kenya namba zashuka licha ya kuchukua tahadhari TOKA MWANZO? Cases ni ngapi na fatalities ni ngapi?
Mkuu, hii sio ligi.

Kenya tunapima 800 kwa siku, hivyo lazima namba zipandishe
Jiulize tunapima watu 800 ndani ya masaa 24 na kupata waathirika sita (6)
Nyie ambao mlikua mnapima kumi kwa siku, sasa sijui mumejitumia na kupima wangapi kwa siku hadi mpate waathirika 53 kwa mkupuo ndani ya masaa 24
Chukueni tahadhari, acheni ukaidi, sisi wote ni waumini wa Mungu, na tumechukua tahadhari, hatusongamani kwenye makanisa wala misikitini, vilabu vya pombe vimefungwa, mkikutwa zaidi ya watu tano mumesongamana mnakamatwa, tumia hekima acheni ukaidi.

Kuna hii tweet inazunguka kwenye mitandao, isklize kisha uombe na kuchukua tahadhari, wahubirie ndugu zako huu sio muda wa kubweteka
 
Ngoja kwanza,
Hivi huyu Robert si ndio yule serikali yenu ilimkamata kwa kutoa taarifa za uongo kuhusu corona?

Robert Alai charged over false claims about coronavirus deaths in Mombasa - Citizentv.co.ke
Iweje uamini kuwa hiyo tweet ina ukweli kisa tu inahusu Tanzania ila akipost kuhusu kenya mnamuona ni muongo?
 
This is the same pastor that his sex tapes leaked last year, akubali tu aseme ni sadaka anataka kuendelea kupata, we are the church and thats jus a building

Sent using Jamii Forums mobile app
 
#ze comedy show....



halafu matokeo yake.........

 

Anajitahidi sana, ila bado ana matatizo ya kiufundi ya hapa na pale ukimsoma vyema.

Mkenya ni Mkenya tu.
 
Pamoja na Wakenya kuwa watu wa fix sana, lakini katika thread hii nawaunga mkono kwa yote.
Kwenye issue ya corona tumekuwa taifa LA ajabu sana
 
Safari bado ni mbichi tuweke akiba ya maneno
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyang"au acha uongo mbona nyinyi kila kitu mmeshindwa? Mlianza na lockdown mpaka mkauana kwa risasi lakini hamkufanikiwa sasa mnahangaika na curfew nayo bado maambukizi yanaendelea tu.
 
Pamoja na Wakenya kuwa watu wa fix sana, lakini katika thread hii nawaunga mkono kwa yote.
Kwenye issue ya corona tumekuwa taifa LA ajabu sana
Kwani wewe lipi zuri la watz ulishawaunga mkono? Wewe msaliti na fisadi mkubwa umebanwa unafikiri corona italegeza mambo? Hakuna kitu utaendelea kuumia tu hadi mwisho!
 
Nyang"au acha uongo mbona nyinyi kila kitu mmeshindwa? Mlianza na lockdown mpaka mkauana kwa risasi lakini hamkufanikiwa sasa mnahangaika na curfew nayo bado maambukizi yanaendelea tu.

Dunia kwa sasa hakuna anayeweza kusema ameshinda, hata kule China ilikoanzia bado inaibuka ibuka, Wamarekani wenye mifumo bora ya kila aina leo hii wanateswa kupita maelezo, sisi tunatia juhudi na mpaka sasa kidogo tumeona afueni maana tunapima watu 1,000 kwa masaa 24 na kugundua waathirika 10 pekee
Nyie hapo mlikua mumeganda kwenye kupima 10 kwa siku, sasa hivi itakua labda mumejitutumua na kupima 100 kwa siku, ila watu 100 unapata waathirika 53, ni wazi huo uwiano ni hatari na ina maana mnaogelea kwa kirusi.

Recordings kama hizi zinatisha

 
Sisi ni majitu majinga sn bado utashangaa anaendelea kupata waumini badala ya kumpiga mawe
 
Umeongea vizuri sana,wewe ni miongoni mwa wakenya wachache wanaoipenda Tanzania,but unaamini njia ya kuzuia huu ugonjwa ni kuzuia misongamano
 
Kuna wakati tulkua tunapata +ve cases zaidi ya 20 kwa tests chini ya 500 lakini kwa mikakati tuliyoweka hivi sasa cases zinaaverage 10 in a bigger sample(leo na jana tumefanya tests zaidi ya 1000 kwa siku)...so its working for us tumezuia maambukizi kugrow na rate kubwa
Nyang"au acha uongo mbona nyinyi kila kitu mmeshindwa? Mlianza na lockdown mpaka mkauana kwa risasi lakini hamkufanikiwa sasa mnahangaika na curfew nayo bado maambukizi yanaendelea tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huko Kibera serikali ya Ukunya inahesabu maiti?
 
Fact

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NI mataifa mengi sana wamesimamisha chochote ambacho huleta watu wengi pamoja....
Wakati huyu pastor alikua ana tamka haya maneno, Tanzania ilikua na kesi 20 pekee za corona, ningependa kusikia matamko yake ya sasa vile Tz imeipita Uganda, Ethiopia, Rwanda kwa kesi za corona.. nchi za ukanda huu ambazo zote zimebania watu kwenda makanisani
 
Sisi watz ni majitu majinga tuacheni endeleeni na mambo yenu ya maana na rais wenu wa maana
 
Trust me ,,,, chini ya kapeti Kenya wagonjwa wafika 470

Send by APOLO 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…