Hadi Kenya inabezwa kanisani kule Tanzania, ndugu zetu huu ujasiri mnautoa wapi?

Trust me ,,,, chini ya kapeti Kenya wagonjwa wafika 470

Send by APOLO 1

470 mbona kidogo, tulitabiriwa na wataalam kwamba tutakua na waathirika 10,000 kwa mwezi huu wa April, tukajipanga kwa kila namna, leo hii tunapima watu 1,000 na kugundua waathirika 10 tu, nyie hapo kwa mpigo mmoja ndani ya masaa 24 mnaibuka na waathirika 53, ina maana mnaogelea kwenye hicho kitu.
 
Korona siyo power full kwa MTU mweusi kama mweupe kuna mambo mengi yana saidia mfano tz tunaendelea na kazi kama kawaida bila hadhali kubwa ila maambukizi ni bado chini tofauti na ulaya ,licha ya wao kuchukua hatua Kali na kubwa sana wagonjwa ni wengi sana

Send by APOLO 1
 
Watanzania wanaifuatilia Kenya kuliko kinyume chake kwa kifupi Kenya na Tanzania ni ndugu wenye wivu
Mkuu Sio huyu tuu, Wakenya wengi wanaifuatilia sana Tz kuliko nchi yao. Kuna jamaa mmoja anaitwa Miguna..huyo bora tumpe uraia wa lazima maana Tz imemkaba koo haswa.
Ila kuna usemi, "mti wenye matunda hulengwa mawe"

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Wale maambukizi kwao yanasomeka mengi kisa wanapima, nyie sasa hivi kila mkipima kidogo tu mnaibuka na namba za kiajabu, je mkipata uwezo wa kupima watu 1,000 kwa siku kama tunavyofanya, au hata muwezeshwe kupima kama Ulaya???
Hiki kitu uongozi wenu ulibugi sana kwa kukaidi maana Watanzania wataishia kuwalaumu sana, mataifa mengine wananchi wote wamekua kimoja maana viongozi wao walichukua misimamo ya tahadhari na kuihamasisha, ila nyie mkajifanya tofauti na kukaidi, sasa wananchi watawaona kama adui badala ya kuelekeza hasira zao kwa Corona.
Kwa hili mlishauriwa vibaya MaCCM.
 
84 cases in a day na hata hampimi wengi.

Hawa Watanzania na huu ukaidi wao kutoka kwa viongozi mpaka watu wa chini yaani ni wa kuhurumiwa tu, hiki kitu wamekichukulia poa na kukiita kaugonjwa, mimi mwenyewe licha ya juhudi zetu zote hapa Kenya bado najikuta nikijutia kwanini sikuchomoka na familia yangu mapema na kwenda kijijini kabla Nairobi haijafungwa.

The most important first step in defeating this thing is FEAR, we must fear it, must get really really scared, that way people will be precautious in every step of the way. Assume the damn virus is on every surface you touching, every human being you're interacting with, fear is a very important emotion in times like this, helps one to stay away from unnecessary activities.
 
Achana na watanzania kwani wakipata maafa unatesekaje?
Kanisa sio majengo, ila ipo ndani ya mioyo yetu, rais wetu alishatuagiza tuendelee kuomba ila tukiwa kwenye nyumba zetu, nyie mumeambiwa muombe ila mkikusanyika huko huko kansani na kupumuliana.
Kama wewe ni Mkristo kasome Hosea 4:6

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania sio Kenya acha kufananisha nchi yetu na upumbavu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtuhubiri mpaka kwenye makanisa halafu tusiwaseme.
Mkishatusema mnatubadilisha nini?
Mnajaribu kufananisha Tanzania ni huo ujinga wenu huko kwa kila jambo na hamtosheki, ombeni uraia mpate hifadhi.

Hiki kipindi kila nchi inapambana kwa namna yake, nyie mamburula mnatafuta ulinganifu kwa kila jambo vile mpate kusema.
Kila nchi ishinde mechi zake achaneni na Tanzania wapuuzi ninyi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sasa kama kila nchi inapaswa ihangaike kivyake mbona mtuhubiri kwenye makanisa.
 
Hi

Hiyo ndio maana halisia ya kanisa. La kuhuzunisha ni pale watu wanakongamana kwa ajili ya maombi halafu wanapageuza kikao cha kukejeli na kusabasi. Bali na kero, ni kufuru kiaina mbele ya mwenyezi mungu!..
Nani aliekufunga kamba uende ukakusanyike?
Kaa kwako pambana kivyako acha kugeneralize afya yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na nyie wenye namba kubwa mlifanya uzembe wapi?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo Tanzania inaassume bila vipimo au mpaka utangaziwe wewe lofa?

Kama mlichukua tahadhari na kwa upumbavu wako unaona imewasaidia kuliko tahadhari za Tanzania kwanini huo upuuzi wenu vipimo usilete negative cases.
Wewe ni kichaa unaetafuta ligi na bila Tanzania hamuishi nyang'au nyie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: Oii
Kama unajuwa vita bado ngumu huu uchuro Wa kuisema Tanzania as if your failed nation INA maambukizi zero unautoa wapi?
Wewe ni mpuuzi mpenda mashindano daima
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchungaji huyu ambaye huenda kushauri hadi ikulu anadiriki kuchekelea idadi ya waathirika Kenya, halafu watu wanamshabikia, mtu kama huyu ndiye anategemewa kuongoza taifa kwenye maombi.
Ndugu yangu nimekuomba mara kadhaa achana na mambo ya kuandika ushindani baina ya nchi hizi, hayasaidii kwa nama unavyopresent. Hebu nikuulize, unadhani mtazamo wa mtu au kikundi kimoja juu ya Kenya au Tanzania unatosha kuakisi mtazamo wa nchi? Au unadhani mtu au kikundi kimoja kinapokuwa kimetoa maneno au tamko, je, hakuna wananchi wengine ambao wapo kinyume na mtazamo huo? Wakati mwingine ni kupotezea tu, hakuna haja ya kubeba mambo kiujumla
 
Upumbavu wako ninaouona hapa ni kujaribu kujisifia zaidi namna mnavopimana huna jingine
Endelea na utaratibu achia Tanzania ina utaratibu wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…