Hadi Kenya inabezwa kanisani kule Tanzania, ndugu zetu huu ujasiri mnautoa wapi?

Kwanini unalazimisha tufanane nanyi?
Hao wanaotolewa data wamepatikana kwa kuhisiwa au kipimo? Kama ni kipimo unafahamu ni idadi ngapi hupimwa kufikia hao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Huwa najibu hoja za humu ndani ambapo asilimia 90% mna mitazamo iliyosheheni chuki, hivyo lazima mjibiwe on equal measures.
 
Huwa najibu hoja za humu ndani ambapo asilimia 90% mna mitazamo iliyosheheni chuki, hivyo lazima mjibiwe on equal measures.
Sasa ngoja nikupe tips. Asilimia kubwa ya watu waliomo humu ni wapinzani wa serikali hii, na hata hatua nyingi zinazochukuliwa na serikali wengine huzipinga tu kwa kuwa ni wapinzani. Lakini linapokuwa limeibuka suala la nchi kukashifiwa na nchi nyingine, basi maoni yao unaweza kudhani wapo pamoja na msimamo wa serikali! Hebu soma uzi huu uwajue watu wa humu:

Je, utampa Magufuli kura yako msimu ujao? - JamiiForums
 
Hii wanasema ni fake news but their numbers of late shows that this is what is in the ground, my Tanzanian pal told me 2 people collapsed and died yesterday, its sad

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtani huyu wa maharage ya jana asikuumizwe kichwa huwa yanamtoka kama kanywa maji ya chooni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi kuomba Nyumbani tutadanganyana maana wengine wamezoea kushika Biblia Jumapili kwa Jumapili tu mpaka akienda Kanisani ndio asome Biblia, sasa mru kama huyo ukimwambia asiende Kanisani aombee nyumbani ndio kabisaa hata omba kabisa tutakuwa tunajidannganya

Kanisa sio majengo, ila ipo ndani ya mioyo yetu, rais wetu alishatuagiza tuendelee kuomba ila tukiwa kwenye nyumba zetu, nyie mumeambiwa muombe ila mkikusanyika huko huko kansani na kupumuliana.
Kama wewe ni Mkristo kasome Hosea 4:6
 
Mtu wa hivyo hata ndiye abaki nyumbani kabisaaa, haya maombi yafanywe na mashujaa wa imani, wanaofunga kunywa na kula na maombi kila siku, kuna baadhi yetu ni mzigo kwa wengine kwenye hii safari.
 
Kuna rais wa nchi moja iko Afrika mashariki, kwenye suala la corona jamaa kafeli vibaya mno. Kaonyesha hakufaa hata kuwa balozi wa mtaa achilia mbali urais.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uongo kwaiyo tusipo Pima atupati tatizo maana siku ni nyingi huu ugonjwa aujifichi baada ya kuambukizwa siku 14 mwenyewe utatafuta hospital na kuhusu wagonjwa ndiyo wataongezeka ila sisi hatuna tatizo hata kama watafika 10000 tutajua cha kufanya

Send by APOLO 1
 
Wakenya wengi wapo hivyo towards Tz. Nenda huko twitter uone walivyoishikia debe iyo clip.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtasubiri sana na video zenu sisi tunaendelea kupigakazi. Hapa Kazi Tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…