Nyani Ngabu na
Kiranga vipi huko kuna usalama?
Personally.
Kwangu kuna usalama mpaka inatisha.
Ushawahi kuwa salama mpaka ukaona "hapa kuna mtu anani punk nini?".
Yani ile Bob Marley alivyoimba kwenye "Rat Race" "When you think it's peace and safety, a sudden destruction". Ndiyo Peace and Safety ya kwangu saa hizi, mpaka naogopa "a sudden destruction" inaweza kuja.
Mimi Marekani nina uraia na sijawahi kukaa nje ya legal status hata kwa sekunde moja. Halafu naishi kwa kuogopa sheria za watu vibaya sana, everything by the book, naishi ki OG kishua vibaya sana.
Kazi ninazofanya tu zina high level of professionalism na background checks mtu wa ovyo ovyo hawezi hata kupita background checks zake na kuruhusiwa kuzifanya. Yani zile kazi ambazo mtu akiwa na credit mbaya tu, au kikesi cha kijinga tu, au historia ya drug use tu, hawezi kuruhusiwa kufanya.
Ndiyo kwangu.
I live a clean life, I don't even steal cable - Nas "Mastermind".
Ila maisha ni zaidi yangu mimi tu. Vipi wana wa kitaa, wale ambao mikiki yao iko tofauti na hawajapitia njia za kufunga mkanda kote?
Hapo hali ipo tete kwa baadhi ya watu, wachache sana, lakini wapo.
Kuna mwana mmoja anarudishwa. It's all good though, nyumbani kuna network ya kumpokea na kumpa psychological support, kumuanzishia maisha, na huku kuna watu watamtumia vitu vyake.
It's been a good run, all things considered.
Thanks for your concern.
More life.
One.