Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Huko mfumo jinsi ulivyo huwezi ishi bila kulipa kodi.Hawalipi kodi wanajificha kifupi hawatambuliki huko wameingia kwa magendo.
Ukaazi ndio sio halali ila kodi wanalipa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko mfumo jinsi ulivyo huwezi ishi bila kulipa kodi.Hawalipi kodi wanajificha kifupi hawatambuliki huko wameingia kwa magendo.
Africa ni moja, ujinga wa mipaka imewekwa na wakoloni waliokuwa wanagawana ardhi yetu (scramble of Africa)Duniani huko kwa wanao jielewa wana sheria zao sio kama kwetu kwa kina kajamba nani Wazambia twende,Wakongo njooni,Wamalawi 😁
Trump aliwaonya kablaIndia🙌🏻🙌🏻
Mtu kisa anajua kupiga danadana za mpira anaombewa uraia.Duniani huko kwa wanao jielewa wana sheria zao sio kama kwetu kwa kina kajamba nani Wazambia twende,Wakongo njooni,Wamalawi 😁
Tena wapo wengi 😂Nawaona wajomba zake obama nao wanarudi
Nyani Ngabu na Kiranga vipi huko kuna usalama?
SawaHuko mfumo jinsi ulivyo huwezi ishi bila kulipa kodi.
Ukaazi ndio sio halali ila kodi wanalipa.
Minjingu JinguMange is going to join us soon
Yaani huku ukinyoosha vizuri kiswahili au ukiwa na mtu mzito huko serikalini hata kama sio raia wa Tz utaupata ukitaka.Mtu kisa anajua kupiga danadana za mpira anaombewa uraia.
Mimi nipo Kihalali huku na sirudi sasa. Bado nipo sana.
Kuwa mihamiaji haramu sio hako ya binadamu. Zisome usijitungie kichwani mwakoHii inaharibu haki za binadamu kuishi popote ili mradi havunji sheria, hawa wageni wamekaa miaka mingi huko inakuwaje wanarudishwa nchi zao?
wevunja sheria ndio maana wanarudishwaHii inaharibu haki za binadamu kuishi popote ili mradi havunji sheria, hawa wageni wamekaa miaka mingi huko inakuwaje wanarudishwa nchi zao?
Yeah. Umetoa mfano mzuri sana wa kufafanua hali inavyokuwa. Unatumia Huduma za wenzako kinyemela bila utaratibu wa makubaliano halali tangu mwanzo.Naomba nije nikae kwenu baada ya kugundua mkono utaenda kinywani! Unaniruhusu? Kwani nimevunja sheria hipi kunikatalia?
Wapenda shortcut kwenye ubora wao wa kulalalama..Hii inaharibu haki za binadamu kuishi popote ili mradi havunji sheria, hawa wageni wamekaa miaka mingi huko inakuwaje wanarudishwa nchi zao?