Hahaaaaaa yeye pamoja na zee la kuogesha vibabu na vibibi vya kizungu Kiranga Tutawapokea airport muda si mrefuMange is going to join us soon
Huna uhalali ww. Jipe faraja tu kwa sasa.Mimi nipo Kihalali huku na sirudi sasa. Bado nipo sana.
Sijajua bwana Mdogo Ngabu kama ana Makaratasi ๐ผYule D nyota biashara yake ndio imekufa rasmi............alikuwa anawasaidia wana kuwapereka kwa Trump kwa malipo..............sasa pilau limetiwa dagaa kamba
Wishing you more life mkuuPersonally.
Kwangu kuna usalama mpaka inatisha.
Ushawahi kuwa salama mpaka ukaona "hapa kuna mtu anani punk nini?".
Yani ile Bob Marley alivyoimba kwenye "Rat Race" "When you think it's peace and safety, a sudden destruction". Ndiyo Peace and Safety ya kwangu saa hizi, mpaka naogopa "a sudden destruction" inaweza kuja.
Mimi Marekani nina uraia na sijawahi kukaa nje ya legal status hata kwa sekunde moja. Halafu naishi kwa kuogooa sheria za watu vibaya sana, everything by the book, naishi ki OG kishua vibaya sana.
Kazi ninazofanya tu zina high level of professionalism na background checks mtu wa ovyo ovyo hawezi hata kupita background checks zake na kuruhusiwa kuzifanya. Yani zile kazi ambazo mtu akiwa na credit mbaya tu, au kikesi cha kijinga tu, au historia ya drug use tu, hawezi kuruhusiwa kufanya.
Ndiyo kwangu.
I live a clean life, I don't even steal cable - Nas "Mastermind".
Ila maisha ni zaidi yangu mimi tu. Vipi wana wa kitaa, wale ambao mikiki yao iko tofauti na hawajapitia njia za kufunga mkanda kote?
Hapo hali ipo tete kwa baadhi ya watu, wachache sana, lakini wapo.
Kuna mwana mmoja anarudishwa. It's all good though, nyumbani kuna network ya kumpokea na kumpa psychological support, kumuanzishia maisha, na huku kuna watu watamtumia vitu vyake.
It's been a good run, all things considered.
Thanks for your concern.
More life.
One.
Rudi tujenge taifa letu pamojaKuna wabongo taarifa kama hii inawapa raha sana.
DuuuSijajua bwana Mdogo Ngabu kama ana Makaratasi ๐ผ
Mi sijazamia wewe. Serikali yangu yenyewe inajua nipo huku. Huko Magomeni mtaona manyoya tu. Mkae na linchi lenu lenye ubabaifu mwingi. Huko sirudi ni bora nikimbilie hata Somalia lakini Bongo sirudi katu. Nilisha settle huku kwa watu.Huna uhalali ww. Jipe faraja tu kwa sasa.
Magomeni tunakusubiri urudi na singlendi zako utakua dobi wetu huku
Hizi nchi hapa chini sijaelewa๐๐บ๐ฒ The list of 1,445,549 People To Be Deported By The US.
Also included are the Africans in the US ๐บ๐ธ facing deportation in 2025.
1. Somalia ๐ธ๐ด - 4090
2. Mauritania ๐ฒ๐ท - 3822
3. Nigeria ๐ณ๐ฌ - 3690
4. Ghana ๐ฌ๐ญ - 3228
5. Guinea ๐ฌ๐ณ - 1897
6. Cameroon ๐จ๐ฒ - 1736
7. Ethiopia ๐ช๐น - 1713
8. Senegal ๐ธ๐ณ - 1689
9. Liberia ๐ฑ๐ท - 1563
10. Egypt ๐ช๐ฌ - 1461
11. Kenya ๐ฐ๐ช - 1282
12. Ivory Coast ๐จ๐ฎ - 1224
13. DR. Congo ๐จ๐ฉ - 1068
14. Gambia ๐ฌ๐ฒ - 1035
15. Sudan ๐ธ๐ฉ - 1012
16. Eritrea ๐ช๐ท - 973
17. Mali ๐ฒ๐ฑ - 929
18. Congo ๐จ๐ฌ - 745
19. Angola ๐ฆ๐ด - 662
20. Niger ๐ณ๐ช - 642
21. Zimbabwe ๐ฟ๐ผ - 545
22. Morocco ๐ฒ๐ฆ - 495
23. Burundi ๐ง๐ฎ - 462
24. Tanzania ๐น๐ฟ - 427
25. Uganda ๐บ๐ฌ - 393
26. South Africa ๐ฟ๐ฆ - 379
27. Cape Verde ๐จ๐ป - 314
28. Algeria ๐ฉ๐ฟ - 306
29. Burkina Faso ๐ง๐ซ - 303
30. Togo ๐น๐ฌ - 301
31. Zambia ๐ฟ๐ฒ - 174
32. Chad ๐น๐ฉ - 169
33. Tunisia ๐น๐ณ - 160
34. South Sudan ๐ธ๐ธ - 136
35. Benin ๐ง๐ฏ - 102
36. Libya ๐ฑ๐พ - 89
37. Central African Republic ๐จ๐ซ - 82
38. Gabon ๐ฌ๐ฆ - 60
39. Rwanda ๐ท๐ผ -57
40. Malawi ๐ฒ๐ผ - 56
41. Guinea Bissau ๐ฌ๐ผ - 48
42. Djibouti ๐ฉ๐ฏ - 29
43. Equatorial Guinea ๐ฌ๐ถ - 20
44. Namibia ๐ณ๐ฆ - 19
45. Mauritius ๐ฒ๐บ - 15
46. Mozambique ๐ฒ๐ฟ - 14
47. Botswana ๐ง๐ผ - 12
48. Lesotho ๐ฑ๐ธ - 11
49. Eswatini ๐ธ๐ฟ - 6
50. Madagascar ๐ฒ๐ฌ - 5
51. Seychelles ๐ธ๐จ - 4
52. Comoros ๐ฐ๐ฒ - 3
53. Sao Tome and Principe ๐ธ๐น - 1
Other notable countries include ๐
India ๐ฎ๐ณ - 17940
Russia ๐ท๐บ - 3518
Canada ๐จ๐ฆ - 1290
United Kingdom ๐ฌ๐ง - 1157
Germany ๐ฉ๐ช - 571
France ๐ซ๐ท - 402
Italy ๐ฎ๐น - 375
Spain ๐ช๐ธ - 364
Japan ๐ฏ๐ต - 281
Australia ๐ฆ๐บ - 261
Kweli Kuna watu Wana wivu Wala sio uongoAisee!
Sikuwa najua kuwa kumbe kuna watu wanaumia sana na uwepo wa Watanzania waishio Marekani.
Sasa nimepata kuelewa kwa nini hata humu, kwa mfano, kuna watu wanakuchukia tu bila hata sababu ya msingi.
Mtu hakujui, hajawahi kukutana na wewe, haijui hata sauti yako ikoje.
Hata ikitokea mmekutana barabarani, hatoweza kujua wewe ndo yule jamaa wa JF anayekuchukia bila hata kukujua.
Naona kejeli ni nyingi sana. Kejeli hizo zikirudishwa, wewe unaonekana ni mtu wa kujidai, licha ya kwamba hukuzianzisha wewe hizo kejeli. Ulikuwa unajibu tu mapigo kwa staili ile ile.
Hivi kwa nini mtu uumie moyo na upatwe na kiungulia juu ya mtu ambaye hata humjui?
Ni kwamba maisha yako ni mabaya sana kiasi kwamba ukisikia habari yoyote ile iliyo hasi inayomhusu mtu unayemwonea wivu, unapata faraja ya muda mfupi?
Kuchukia watu ambao huwajui ni ishara ya kutokuwa na furaha maishani mwako. Ni umajinuni.
Hivyo, madhila yoyote unayodhani yanayomkabili mtu unayemchukia, yanakufanya ujisikie hauko peke yako katika magumu unayoyapitia maishani mwako.
Mtaendelea kuumia sana maana misery loves company.
Onwards and upwards.
USA baby ๐บ๐ธ๐บ๐ธ๐บ๐ธ๐บ๐ธ
View attachment 3218063View attachment 3218064