Hadi kufikia Novemba 24, 2024, Idadi ya watu waliopaswa kuondoka Marekani ni 1,445,549, wamo watanzania 301

Kwa Kenya na Nigeria ni pigo kwa nchi zao maana mpunga wanaotuma nyumbani hao diaspora ni wa maana!
Hata Ghana na Cameroon, japo watakachofanya baada ya kurudishwa wataenda nchi nyingine probably wakanufaika zaidi kuliko US manake wengine wanakalia mazoea huku hawapigi mabao kivile.
Imagine nchi kama Jamaica inavyotegemea diaspora wao kiuchumi.
 
Hili lilikua lazima litokee maana zamani ilikua black Americans tu walikua wanalalamika kazi zao zinachukuliwa na wageni na wanalipwa hela ndogo kwa saa kwakua kulikua na replacements
Mamlaka zikawa kimya ila sasa wameanza wazungu kulia kazi zao za tech zinachukuliwa na raïa wa Asia etc ndio wameona wawe serious,,, Huko Europe ndio balaa especially England imekua kama India🙌🏽
 
Kwenye list ukilinganisha na pop. ya Tz aisee it's not that bad.
Ni asilimia ndogo mno, walugaluga wanavyoshabikia na roho zao za kichawi wanadhani kila mTZ anarudishwa. Kwa kwa 'wasafiri' hizi kashkash si jambo geni na mtu au familia wanaweza kurudishwa kutoka US after a month or so wakawa Canada au UK au Sweden yaani popote mtu unapata maisha.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Wahalifu ndio watarudishwa, we maisha uko jela, kodi hulipi, hauna document upo upo tu hilo litakuhusu.
 
Hata kama sina uraia.

Mtu akinirudisha kwetu, hiyo si adhabu na wala si jambo kuleta kejeli, unless uwe una ulimbukeni uliopitiliza.
Ila hili zoezi hata nyumbani tz wameshawahi fanya, nakumbuka warundi, wamsumbiji na waganda walirudishwa sana.
 
Kwa nchi kama marekani hiyo ni idadi ndogo, kuna wengine hapo wamekwepa huo mtego, ile nchi ina watu sio mchezo
 
Ila hili zoezi hata nyumbani tz wameshawahi fanya, nakumbuka warundi, wamsumbiji na waganda walirudishwa sana.
Oh yeah. Nchi nyingi tu huwa zinawarudisha makwao wakazi na wahamiaji haramu.

Naamini ukiingia Somalia bila nyaraka halali ukikamatwa utarudishwa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…