Cha ajabu niniKwa hiyo ww unashindana na Trump ambae ni raisi wa Marekani!?
Kuna comment za maajabu humu!
🤣🤣🤣mwamba huyo, sura ya bangi
HakikaHata kama sina uraia.
Mtu akinirudisha kwetu, hiyo si adhabu na wala si jambo kuleta kejeli, unless uwe una ulimbukeni uliopitiliza.
Wale Wabongo watakaorudishwa kabla ya kurejeshwa mtaani wahojiwe na Wakiwa jela hao ndio Huwa wanakuwa magaidi na kuipaka matope Nchi 😁😁🌍🇺🇲 The list of 1,445,549 People To Be Deported By The US.
Also included are the Africans in the US 🇺🇸 facing deportation in 2025.
1. Somalia: 4,090
2. Mauritania: 3,822
3. Nigeria: 3,690
4. Ghana: 3,228
5. Guinea: 1,897
6. Cameroon: 1,736
7. Ethiopia: 1,713
8. Senegal: 1,689
9. Liberia: 1,563
10. Sierra Leone: 1,563
11. Egypt: 1,461
12. Kenya: 1,282
13. Ivory Coast: 1,224
14. DRC: 1,068
15. Gambia: 1,035
16. Sudan: 1,012
17. Eritrea: 973
18. Mali: 929
19. Angola: 662
20. Niger: 642
21. Zimbabwe: 545
22. Morocco: 495
23. Togo: 427
24. Uganda: 393
25. South Africa: 379
26. Rwanda: 338
27. Cape Verde: 314
28. Algeria: 306
29. Burkina Faso: 303
30. Tanzania: 301
31. Zambia: 174
32. Chad: 169
33. Tunisia: 160
34. South Sudan: 136
35. Benin: 102
36. Libya: 89
37. Central African Republic: 82
38. Gabon: 60
39. Djibouti: 29
40. Equatorial Guinea: 20
41. Namibia: 19
42. Mozambique: 14
43. Botswana: 12
44. Lesotho: 11
45. Eswatini: 6
46. Madagascar: 5
47. Seychelles: 4
Other notable countries include 👇
India 🇮🇳 - 17940
Russia 🇷🇺 - 3518
Canada 🇨🇦 - 1290
United Kingdom 🇬🇧 - 1157
Germany 🇩🇪 - 571
France 🇫🇷 - 402
Italy 🇮🇹 - 375
Spain 🇪🇸 - 364
Japan 🇯🇵 - 281
Australia 🇦🇺 - 261
Kwakuwa China haipo kwenye hiyo orodha, nina wasiwasi hiyo orodha ni fake!!Hawa ni raia wa dunia, popote kambi, wabishi kinoma, nawapenda.
Nadhani bado hujaelewa🤣
Almost all of them are banana republics.
Hizo nchi hazina ubavu wa kuwakataa wananchi wao waliorudishwa.
Zikikataa kuwapokea raia wake, get back to me…..Nadhani bado hujaelewa
Hizo nchi don't give a F… about US
They have got nothing to loose
Sipati picha kama ulifika mbele halafu ukakata ties na jamaa zako wa maisha magumu bongo halafu unarudishwa gafla ukiwa na korodani zako tu kwenye dege la mizigo ya kivita301 haram toka Tanzania!?
Hawanafika hiyo number, nchi inayoongoza ni nigeria na somaliaWakenya itakuwaje nasikia 30000 !!!
Wengi hapo walikua na vibali waka violate terms za vibali vyao wakatakiwa waondoke wakakaza mafuvu kwa miaka mingi hawa ndio mwamba anawaita criminals , halafu kuna walioingia kwa kupenya boarder hawa ndio illigal aliens halafu ndio unakuja kukutana na wazee wa kujilipua wazee wa ku overstay humu nadhani ndio vijana wakizmkazi wengi wapo humuDah ila nimewashangaa sana unaishije nchi za watu mda mrefu bila vibali hasa kwa taifa la marekani bila vibalj haupati kazi ya maana🤔🤔