Hadi kufikia Novemba 24, 2024, Idadi ya watu waliopaswa kuondoka Marekani ni 1,445,549, wamo watanzania 301

Hadi kufikia Novemba 24, 2024, Idadi ya watu waliopaswa kuondoka Marekani ni 1,445,549, wamo watanzania 301

Hata kama sina uraia.

Mtu akinirudisha kwetu, hiyo si adhabu na wala si jambo kuleta kejeli, unless uwe una ulimbukeni uliopitiliza.
Hakika
Shida ya bongo wakiona wote hatuna kitu ndo raha yao
Yaani mi ndo najiandaa na intervie us lzm🤣🤣🤣
 
🌍🇺🇲 The list of 1,445,549 People To Be Deported By The US.

Also included are the Africans in the US 🇺🇸 facing deportation in 2025.

1. Somalia: 4,090
2. Mauritania: 3,822
3. Nigeria: 3,690
4. Ghana: 3,228
5. Guinea: 1,897
6. Cameroon: 1,736
7. Ethiopia: 1,713
8. Senegal: 1,689
9. Liberia: 1,563
10. Sierra Leone: 1,563
11. Egypt: 1,461
12. Kenya: 1,282
13. Ivory Coast: 1,224
14. DRC: 1,068
15. Gambia: 1,035
16. Sudan: 1,012
17. Eritrea: 973
18. Mali: 929
19. Angola: 662
20. Niger: 642
21. Zimbabwe: 545
22. Morocco: 495
23. Togo: 427
24. Uganda: 393
25. South Africa: 379
26. Rwanda: 338
27. Cape Verde: 314
28. Algeria: 306
29. Burkina Faso: 303
30. Tanzania: 301
31. Zambia: 174
32. Chad: 169
33. Tunisia: 160
34. South Sudan: 136
35. Benin: 102
36. Libya: 89
37. Central African Republic: 82
38. Gabon: 60
39. Djibouti: 29
40. Equatorial Guinea: 20
41. Namibia: 19
42. Mozambique: 14
43. Botswana: 12
44. Lesotho: 11
45. Eswatini: 6
46. Madagascar: 5
47. Seychelles: 4

Other notable countries include 👇

India 🇮🇳 - 17940
Russia 🇷🇺 - 3518
Canada 🇨🇦 - 1290
United Kingdom 🇬🇧 - 1157
Germany 🇩🇪 - 571
France 🇫🇷 - 402
Italy 🇮🇹 - 375
Spain 🇪🇸 - 364
Japan 🇯🇵 - 281
Australia 🇦🇺 - 261
Wale Wabongo watakaorudishwa kabla ya kurejeshwa mtaani wahojiwe na Wakiwa jela hao ndio Huwa wanakuwa magaidi na kuipaka matope Nchi 😁😁
 
Watanzania 301 ni miongoni mwa wahamiaji wasiokuwa na vibali wanaokabiliwa na agizo la Rais wa Marekani Donald Trump la kutaka waondolewe mara moja kutoka nchini humo.

Kwa mujibu wa Idara ya Uhamiaji na Forodha ya Marekani (ICE), hadi Novemba 24, 2024, wahamiaji 1,445,549 kutoka mataifa mbalimbali wameorodheshwa kwa ajili ya kurejeshwa makwao. Kenya ina wahamiaji 1,282 waliolengwa, huku mataifa ya Afrika Mashariki na Kati kama Uganda (393), Rwanda (338), Burundi (462), na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (795) pia yakiathirika.

ICE imesema kuwa watu waliolengwa wamevunja sheria za uhamiaji au kutenda makosa yanayostahili adhabu ya kufukuzwa nchini. Kwa mujibu wa utafiti wa Pew Research Center, Marekani ina wahamiaji haramu wapatao milioni 11 kati ya jumla ya watu milioni 341.

Nchi nyingine za Afrika zilizoathirika ni pamoja na:

1. Ethiopia (1,713)
2. Somalia (4,090)
3. Sudan Kusini (136)
4. Nigeria (3,690)
5. Niger (642)
6. Zimbabwe (545)
7. Zambia (174)
8. Togo (427)
9. Tunisia (160)
10. Morocco (495)
11. Djibouti (29)

Tangu kurejea madarakani, Trump ameimarisha juhudi za kukamata na kuwafukuza wahamiaji wanaoishi Marekani bila vibali halali. Katika wiki ya kwanza ya msako, ICE iliwakamata wahamiaji 956 kote nchini. Tayari zaidi ya wahamiaji 3,500 wamekamatwa, huku serikali ikianza kutumia ndege za kijeshi kuwarudisha katika nchi zao.
 
🤣

Almost all of them are banana republics.

Hizo nchi hazina ubavu wa kuwakataa wananchi wao waliorudishwa.
Nadhani bado hujaelewa
Hizo nchi don't give a F… about US
They have got nothing to loose
Rudia kusoma hapa

 
Sisi Diaspora tunafuraha kubwa sana kwa kile anachokifanya Trump. Na wale ambao mlitegemea nitakuwa deported mje mnicheke. Mmeula wa Chuya. Mi bado nipo sana. Ila nitakuja December kusalimia kidogo.

Trump anasema endeleeni kununua magoal mbwaaah nyie.badala mnunue madawa na kutibu watu wenu mnanunua magoli. Sasa anasema mtajitibia na hayo magoli si ndo kipaumbele chenu? ARV msaada haupo muendelee kukazana bila kinga maana hata ndoms bei itapanda. So mkazane vizuri sana ngadu kwa ngadu.

Nyie mnataka wananchi wa Marekani wawasaidie kwa kodi zao. Nyie kodi zenu zinatumika kununulia magari ya kifahari na kuwaleta marekani,dubai n.k viongozi wenu na michepuko yao kula bata. Sasa misaada itasitishwa mkabane nao hao wezi wenu.
 
Hizi taarifa zinapotoshwa sana. WAKUU SIO KILA MHAMIAJI ANARUDISHWA KWAO. NI WAHAMIAJI WENYE CRIMINAL RECORDS MAJIZI, WATEKAJI, WABAKAJI N.K TU NDIO WANAONDOSHWA.
 
Dah ila nimewashangaa sana unaishije nchi za watu mda mrefu bila vibali hasa kwa taifa la marekani bila vibalj haupati kazi ya maana🤔🤔
Wengi hapo walikua na vibali waka violate terms za vibali vyao wakatakiwa waondoke wakakaza mafuvu kwa miaka mingi hawa ndio mwamba anawaita criminals , halafu kuna walioingia kwa kupenya boarder hawa ndio illigal aliens halafu ndio unakuja kukutana na wazee wa kujilipua wazee wa ku overstay humu nadhani ndio vijana wakizmkazi wengi wapo humu
 
Ubalozi wa Tanzania utoe update ya usalama na afya za watanzania wenzetu 301 wanaodaiwa kukosa makaratasi ya kuwaruhusu kuishi marekani.

Tumeshuhudia picha za raia wa nchi zingine wamegungwa pingu au kulala nje. Any update?
 
Back
Top Bottom