milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Orodua iwekwe hapa, tuwahi airport kuwapokea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una uhakika gani ni mhamiaji haramu?Mange kimambi! Sijui akifika airport atazimia
Itakuwa unahitaji miwani tu.
yule hawezi kuwa na makaratasiUna uhakika gani ni mhamiaji haramu?
Wanashindwa kuotea wakala kona?!Hapo jana idara ya ICE ilikamata wahamiaji 957 huku waziri wa mambo ya ndani akijiunga hivi leo katika operation hiyo mjini New York
Unauliza makofi polisiUna uhakika gani ni mhamiaji haramu?
Kwani huyo dada ana tatizo gani? Wabongo wengi hasa nyie wenye vi mia mbili mna ogopa sana kukosolewa sijui kwanini?NILETENI MANGI KIMAMBI
Kumbe mkuu, upo na simu yako! Kama umepona ndiyo Furaha yetu JFItakuwa unahitaji miwani tu.
Makofi police kivip na ina uhusiano gani na mada?Unauliza makofi polisi
Bongo mna wivu nawajua😁😁yule hawezi kuwa na makaratasi
I live a clean life, I don't even steal cable - Nas "Mastermind".Kumbe mkuu, upo na simu yako! Kama umepona ndiyo Furaha yetu JF
Nigerians nadhani ndio itakuwa moja ya nchi zenye idad kubwa, after mexicoIdadi ya watanzania wanao ondolewa katika ardhi ya Marekani na kurudishwa nyumbani imetolewa leo na mamlakani ya kudhibiti wahamiaji haramu nchini humo (ICE) chini ya Utawala mpya wa rais Trump.
Hapo jana idara ya ICE ilikamata wahamiaji 957 huku waziri wa mambo ya ndani akijiunga hivi leo katika operation hiyo mjini New York
Karibuni nyumbani sana watanzania
USSR
Anakosoa au anatukana na kudhalilisha watu?Kwani huyo dada ana tatizo gani? Wabongo wengi hasa nyie wenye vi mia mbili mna ogopa sana kukosolewa sijui kwanini?