min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Ndio maana ukiambiwa mmatumbi ni grade ya mwisho ya binadamu usinune.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana ukiambiwa mmatumbi ni grade ya mwisho ya binadamu usinune.
Tag inakusaidia nini ewe mmatumbi mwenzangu?Hawa wajinga ulikuwa ukiwaomba tag wanakunyima bora warudi
Umenikimbusha lemutuz na American sprit yakeMkuu wakirudi tu na mindset ya US inatosha kabisa, achana na material thing's.
Mkuu unajuaje kuwa walikuwa wana uwezo wa kukupa tag ikiwa wao wenyewe wanaganga ganga njaa tu mpaka wanarudishwa?Hawa wajinga ulikuwa ukiwaomba tag wanakunyima bora warudi
Watapoteza haki zao zote na kila kitu walichokuwa wanamiliki zikiwemo bank accounts🥱Idadi ya watanzania wanao ondolewa katika ardhi ya Marekani na kurudishwa nyumbani imetolewa leo na mamlakani ya kudhibiti wahamiaji haramu nchini humo (ICE) chini ya Utawala mpya wa rais Trump.
Hapo jana idara ya ICE ilikamata wahamiaji 957 huku waziri wa mambo ya ndani akijiunga hivi leo katika operation hiyo mjini New York
Karibuni nyumbani sana watanzania
USSR
huwajui Wajerumani wewe!Huyu Tramp Hana damu ya kiswahili kweli?? Wazungu hawanaga roho za namna hiyo.
Huyo wamrudishe na pingu miguuni kabisaMzee mwanakijiji amepona?
We si ulijipanga ndio ukarudi, imagine wanakupa 24hrs, au next flight..weee lazima wenge lijeMkuu nimekaa huko najua labda huyo mtu awe mjinga wa mwisho.
Kwa mtu aliekaa states BONGO anaweza ishia kuwa frustrated, mifumo mbalimbali ya kijamii na kiuchumi imekaa kindezi sana, kuanzia utoaji wa huduma mbalimbali za kijamii hadi kuimpliment wazo la biashara ni utata mtupu! Rushwa, kodi kandamizi, ujanja ujanja mwingi na takataka zingineHakika Mkuu
Kama watakuja na akiba kidogo ya kuanzia maisha, Bongo sio kubaya sana
Muhimu waje na ideas na Mtaji kidogo wanaweza kutoboa
Colombia juzi walitaka kumletea kibezi trump.
Kawakusanya wahamiaji haram kawarudisha kwao, anafika anga lao eti wakagomea midege yake kutua eti kisa wamefungwa pingu.
Midege ilivyogeuka tu, trump akapiga mkwara mmoja tu rais wa Colombia kaufyata.
View: https://youtu.be/4SwEMVR45Xs?si=tD7tZXX6JuEJPAVU
Dah ila nimewashangaa sana unaishije nchi za watu mda mrefu bila vibali hasa kwa taifa la marekani bila vibalj haupati kazi ya maana🤔🤔We si ulijipanga ndio ukarudi, imagine wanakupa 24hrs, au next flight..weee lazima wenge lije
Acha ukorofi weweWanarudishwa na pingu mkononi? 😹
Jamani watupe tarehe tukawapokee ndugu zetu Airport 😥🤣
Mnatuandaa kisaikolojia 😹😹Kabisa mtu alie kaa US hata mwezi tu kuna namna anajifunza ubora hata kama ni mjinga wa mwisho.
Kwanza kwenda huko tu ni kwamba huyo mtu ana upeo mkubwa sana.
Hahahaha hapana mimi sio mmatumbi mwenzenu dhubutu😁😁Mnatuandaa kisaikolojia 😹😹
Nyie rudini tusaidiane kulima, tena mmekuja muda mzuri wa palizi..!!
Yaani mtu kabisa mwenzake anakumbana na majanga na msukosuko yeye baada ya kumhurumia ndio kwanza anafurahia.....Ndio maana ukiambiwa matumbi ni grade ya mwisho ya binadamu usinune.
Nyie member wa JF mpewe vitambulisho ili member wenzenu tuwapokee.!! 😹Acha ukorofi wewe