Hadi kufikia Novemba 24, 2024, Idadi ya watu waliopaswa kuondoka Marekani ni 1,445,549, wamo watanzania 301

Hapo jana idara ya ICE ilikamata wahamiaji 957 huku waziri wa mambo ya ndani akijiunga hivi leo katika operation hiyo mjini New York
Wanashindwa kuotea wakala kona?!
 
Nigerians nadhani ndio itakuwa moja ya nchi zenye idad kubwa, after mexico
 
Kwani huyo dada ana tatizo gani? Wabongo wengi hasa nyie wenye vi mia mbili mna ogopa sana kukosolewa sijui kwanini?
Anakosoa au anatukana na kudhalilisha watu?
Au alishabadilika akaacha kutukana watu sahivi anakosoa ? Maana sijamfatilia miaka kadhaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…