Hadi kufikia Novemba 24, 2024, Idadi ya watu waliopaswa kuondoka Marekani ni 1,445,549, wamo watanzania 301

Watapoteza haki zao zote na kila kitu walichokuwa wanamiliki zikiwemo bank accounts🥱
 
Hakika Mkuu

Kama watakuja na akiba kidogo ya kuanzia maisha, Bongo sio kubaya sana

Muhimu waje na ideas na Mtaji kidogo wanaweza kutoboa
Kwa mtu aliekaa states BONGO anaweza ishia kuwa frustrated, mifumo mbalimbali ya kijamii na kiuchumi imekaa kindezi sana, kuanzia utoaji wa huduma mbalimbali za kijamii hadi kuimpliment wazo la biashara ni utata mtupu! Rushwa, kodi kandamizi, ujanja ujanja mwingi na takataka zingine
 
Wanarudishwa na pingu mkononi? 😹
Jamani watupe tarehe tukawapokee ndugu zetu Airport 😥🤣
 
We si ulijipanga ndio ukarudi, imagine wanakupa 24hrs, au next flight..weee lazima wenge lije
Dah ila nimewashangaa sana unaishije nchi za watu mda mrefu bila vibali hasa kwa taifa la marekani bila vibalj haupati kazi ya maana🤔🤔
 
Kabisa mtu alie kaa US hata mwezi tu kuna namna anajifunza ubora hata kama ni mjinga wa mwisho.

Kwanza kwenda huko tu ni kwamba huyo mtu ana upeo mkubwa sana.
Mnatuandaa kisaikolojia 😹😹
Nyie rudini tusaidiane kulima, tena mmekuja muda mzuri wa palizi..!!
 
Ndio maana ukiambiwa matumbi ni grade ya mwisho ya binadamu usinune.
Yaani mtu kabisa mwenzake anakumbana na majanga na msukosuko yeye baada ya kumhurumia ndio kwanza anafurahia.....

Hii sio tena roho mbaya.......bali ni ushetani kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…