City Of Lies
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 4,925
- 6,137
Aisee 😯
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Source?Idadi ya watanzania wanao ondolewa katika ardhi ya Marekani na kurudishwa nyumbani imetolewa leo na mamlakani ya kudhibiti wahamiaji haramu nchini humo (ICE) chini ya Utawala mpya wa rais Trump.
Hapo jana idara ya ICE ilikamata wahamiaji 957 huku waziri wa mambo ya ndani akijiunga hivi leo katika operation hiyo mjini New York
Karibuni nyumbani sana watanzania
USSR
Hakika MkuuDah,
Usiombe hiki kitu...
Ukishazoea states huku sijui unakuja kuanzia wapi... Wish them well.
Ukiwa deported unaweza usirudi na kitu, wahurumiwe tu wachukue vyakwao.Hongera sana watafutaji sidhani kama watarudi mikono mitupu kama kukaa bongo na mind set ya usimba na uyanga.
Mkuu wakirudi tu na mindset ya US inatosha kabisa, achana na material thing's.Ukiwa deported unaweza usirudi na kitu, wahurumiwe tu wachukue vyakwao.
Chui hata akikonda sana hawezi kuwa Paka.Hongera sana watafutaji sidhani kama watarudi mikono mitupu kama kukaa bongo na mind set ya usimba na uyanga.
Kabisa mtu alie kaa US hata mwezi tu kuna namna anajifunza ubora hata kama ni mjinga wa mwisho.Chui hata akikonda sana hawezi kuwa Paka.