Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 20,654
- 35,887
Haaa Nyani Ngabu kapona kweli !.Da MANGE nadhani hakosekani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haaa Nyani Ngabu kapona kweli !.Da MANGE nadhani hakosekani
Kwani wana access ya kuingia kwenye account yako mf ya bongo na kuchota mpunga mkuu?🤔Ukiwa deported unaweza usirudi na kitu, wahurumiwe tu wachukue vyakwao.
Yule ni raiaNa Mange Kimambi naye ni mmoja wapo au????
Kwamba mamlaka zitamkwida mapemaBora iwe hivyo maana akirudi anaweza kufikia selo!
Kurudisha wahamiaji haram ndio kuifanye American idondoke au unamaanisha nini? Maana hao kwa asilimia kubwa ni wazururaji na vibaka tu wasio na faida kwa marekani na hata huko ulaya watatimuliwa muda ukifikaAma kweli huyu muhuni amedhamiria, ulaya unaenda kuinuka tena
Yule ni tofauti yeye Urania wake ni sababu ya ndoaNa Mange Kimambi naye ni mmoja wapo au????
Hawa ni raia wa dunia, popote kambi, wabishi kinoma, nawapenda.India🙌🏻🙌🏻
Kwa kweli ukienda Dubai wapo wengi mno,Oman n.kHawa ni raia wa dunia, popote kambi, wabishi kinoma, nawapenda.
Mange is a legal immigrant in USA, take your towel poppy.Mange is going to join us soon
Hawalipi kodi wanajificha kifupi hawatambuliki huko wameingia kwa magendo.Hii inaharibu haki za binadamu kuishi popote ili mradi havunji sheria, hawa wageni wamekaa miaka mingi huko inakuwaje wanarudishwa nchi zao?