hadi maandishi kwenye duka/frem now unayalipia???

hadi maandishi kwenye duka/frem now unayalipia???

masai dada

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
17,576
Reaction score
20,183
nawaonea huruma sana vijana wanaombana kutafuta mtaji kujichanga kulipia frem
ni ngumu kutoboa

mlitutafuta kwenye mabango watu wakachomoa
now maandishi ya duka tu yalioko ukutani tena madogo unatakkwa kuyalipia
temeke ukifanya biashara kuna service levy
tra ya mwaka
bango(labda usiandike chochote)
taka (kwa lazima
ulinzi kwa lazima
Huruhusiwi kupack hata nje ya duka lako
so wateja watajua wenyewe pakupaki

aiseee hii serikali ionee huruma wafanyabiashara kama inavyoonea wasanii huruma
 
Weka kispika au spika kutangaza biashara. Tengeneza magroup, na pages za mitandao ya kijamii kutangaza biashara.

Omba tender za serikali
 
nawaonea huruma sana vijana wanaombana kutafuta mtaji kujichanga kulipia frem
ni ngumu kutoboa

mlitutafuta kwenye mabango watu wakachomoa
now maandishi ya duka tu yalioko ukutani tena madogo unatakkwa kuyalipia
temeke ukifanya biashara kuna service levy
tra ya mwaka
bango(labda usiandike chochote)
taka (kwa lazima
ulinzi kwa lazima
Huruhusiwi kupack hata nje ya duka lako
so wateja watajua wenyewe pakupaki

aiseee hii serikali ionee huruma wafanyabiashara kama inavyoonea wasanii huruma
Kama wafanya biashara wenyewe hawajionei huruma unataka vipi serikali iwaonee huruma? Kosa kubwa la sisi watanzania ni kudhani kulia-lia na kutaka kuonewa huruma ni sehemu muhimu ya maisha.
 
Service levy sijaielewa kabisa aisee hao halmashauri wana leseni tunalipia bado wanataka Service levy tena duh kweli kufanya biashara Tanzania ni kazi sana labda uwe mkwepa kodi...
Nimefikiri kufanya biashara Uganda au Kenya maana hapa sio kitu kinafanyika zaidi ya kuwachangia jamaa tu...
SA,Malawi,Zambia hata hapo Mozambique hakuna huu upuuzi nimetamani kurudisha majeshi home kila kukicha wanakuja watu na barua za malipo bado fire hapo hawajakuja kukutembelea..
 
Mkuu mbona hii ipo kitambo tu??mimi nafahamu zaidi ya miaka 10 na nimeikuta so means ipo zaidi ya hapo,huwa wanakuja na Tape measure kupima ukubwa wa bango na kuhesabu Herufi..

Na kama logo au maandishi yako yana rangi nyekundu utalipa zaidi...
 
nawaonea huruma sana vijana wanaombana kutafuta mtaji kujichanga kulipia frem
ni ngumu kutoboa

mlitutafuta kwenye mabango watu wakachomoa
now maandishi ya duka tu yalioko ukutani tena madogo unatakkwa kuyalipia
temeke ukifanya biashara kuna service levy
tra ya mwaka
bango(labda usiandike chochote)
taka (kwa lazima
ulinzi kwa lazima
Huruhusiwi kupack hata nje ya duka lako
so wateja watajua wenyewe pakupaki

aiseee hii serikali ionee huruma wafanyabiashara kama inavyoonea wasanii huruma
Muarabu yupo mbioni kurudisha kodi zote za kikoloni labda hayo mabango uandike kwa lugha ya kiarabu.
 
Back
Top Bottom