hadi maandishi kwenye duka/frem now unayalipia???

Hii ishu ni kubwa sana, nimeona mwana ccm mmoja hapo juu anasema weka speaker, sijui omba tenda za serikali. How's it possible kwa nchi ambayo mamlaka na taasisi za serikali hazina maamuzi, maamuzi yote yanatolewa na mtu mmoja mwenye interest.

Ok lets huko kwenye tender za serikali kule ni connection na lower bidder ndio anapewa tender. Unaoshindana nao kule ukumbuke ni big fish, wana pesa na connection vilevile wana interest na viongozi wengi tu wa serikali. Ambapo hata akipitisha bidhaa fake TBS wanapigiwa simu mmoja tu wanafunga mdomo. Kwa mazingira hayo unaweza ukaomba tenda mwaka mzima usipate na ukumbuke huombi bure.

Kwa ufupi nchi hii inatakiwa kufanyiwa factory reset tena tuanze na katiba haya maujinga yote ndio yatakwisha.
 
Mkuu mbona hii ipo kitambo tu??mimi nafahamu zaidi ya miaka 10 na nimeikuta so means ipo zaidi ya hapo,huwa wanakuja na Tape measure kupima ukubwa wa bango na kuhesabu Herufi..

Na kama logo au maandishi yako yana rangi nyekundu utalipa zaidi...
😁😁😁 Kwamba wana own herufi !? Nazo herufi zinalipiwa Kodi ??
 
Haha wana charge kutokana na characters ngapi umeandika mfano HEARLY SHANGA SHOP hii charge yake tofauti na HEARLY SHANGA BORA MJINI PENDEZA UTOKEE SHOP MAGOMENI..

mimi nilikua nalipa laki 7 kwa mwaka Manispaa ya kinondoni,

Bei zao ilikua square fit moja kwa bango linalowaka taa 10,000/=

bango ambalo haliwaki taa 7,000/=

hadi magari ambayo yapo branded na matangazo unalipia..
 
Jamani 😁😁😁 bango lako unalitengeneza Kwa pesa Yako and still unalipia hii nchi hii ngumu sana Kwa masikini kutoboa
 
Mkuu na hiyo bango tu fikiria kodi nyingine nyingi ambazo hata hazieleweki,,biashara zinakufa serikali haipati tena mapato hata hayo madog,.

Tukubali tu mtu mweusi ni kiumbe duni akili ya kujitawala hana,,Hata the fact kwamba wananchi tumekubali mizigo ya kodi na hatuna dawa barabara wala shule then tupo cool tu,inaonesha sisi viazi kwa kiasi gani,umaskini wetu unaletwa na watawala bado Humu wana watetezi jamii hiyo ya namna gani??

Kodi hii ipo miaka yote lakini hapa tunajadili kama kitu kipya sababu walipaji tuliona sawa tu,soon wanaingia kwenye real estate,wazee wa airbnb na lodges wajipange..
 
Aiseee mtihani mkubwa sana

Hii serikali ya hovyo , serikali unachukua mpaka Kodi ya Swimming pool 😁🙌
 
nawaonea huruma sana vijana wanaombana kutafuta mtaji kujichanga kulipia frem
ni ngumu kutoboa

mlitutafuta kwenye mabango watu wakachomoa
now maandishi ya duka tu yalioko ukutani tena madogo unatakkwa kuyalipia
temeke ukifanya biashara kuna service levy
tra ya mwaka
bango(labda usiandike chochote)
taka (kwa lazima
ulinzi kwa lazima
Huruhusiwi kupack hata nje ya duka lako
so wateja watajua wenyewe pakupaki

aiseee hii serikali ionee huruma wafanyabiashara kama inavyoonea wasanii huruma
Serikali ya Tanzania imeshaanguka kwa sasa, ni suala la muda watu kuingia barabarani na kukata vichwa vya viongozi wa CCM
 
na wachina walivyojaa na serikali inawakumbatia ni swala la muda tu
biashara pekee itakayofanikiwa ni kuwa winga wa wachina tu

kila mtu anmtafikiwa tu
Wachina ni tatizo ambalo CCM walilitengeneza wao , tena wakawaita wachina ni "marafiki zetu" halafu mzungu wakamtaja kama "beberu" kumbe yule rafiki ndio mshenzi kuliko huyo wanayemtaja kama beberu.

Kwa taarifa tu ni kwamba wakati wa ujenzi wa reli ya TAZARA , China alishaanza kupenyeza watu wake kuexplore maeneo ya Tanzania hivyo wana details nyingi tu kuhusu Tanzania hata hapo wanavyokuja wanajua wanachokuja kukifanya na wanakwepaje mitego ya immigration.

Kuna siku nimeona clip mchina anauza hadi mapazia Kariakoo alipoenda Jafo na mapolisi eti kuwakamata , sasa unamkamata mtu ambaye aliingia kwa Visa ya utalii akaextend na kujipatia kibali cha kuendelea kukaa kwa kudanganya ni mwekezaji kumbe nae ni mchuuzi kama wazawa tu ?

Unaacha mfumo ule ule immigration unit ambayo ndii lango kuu na nyumba ya rushwa unafikiri utatatua tatizo.?
 
nawaonea huruma sana vijana wanaombana kutafuta mtaji kujichanga kulipia frem
ni ngumu kutoboa

mlitutafuta kwenye mabango watu wakachomoa
now maandishi ya duka tu yalioko ukutani tena madogo unatakkwa kuyalipia
temeke ukifanya biashara kuna service levy
tra ya mwaka
bango(labda usiandike chochote)
taka (kwa lazima
ulinzi kwa lazima
Huruhusiwi kupack hata nje ya duka lako
so wateja watajua wenyewe pakupaki

aiseee hii serikali ionee huruma wafanyabiashara kama inavyoonea wasanii huruma
Dunia haikaliki!Ahera hakuendeki!Nimeshikwa na mfadhaikoooooooo!
 
Wachina ni tatizo ambalo CCM walilitengeneza wao , tena wakawaita wachina ni "marafiki zetu" halafu mzungu wakamtaja kama "beberu" kumbe yule rafiki ndio mshenzi kuliko huyo wanayemtaja kama beberu.

Kwa taarifa tu ni kwamba wakati wa ujenzi wa reli ya TAZARA , China alishaanza kupenyeza watu wake kuexplore maeneo ya Tanzania hivyo wana details nyingi tu kuhusu Tanzania hata hapo wanavyokuja wanajua wanachokuja kukifanya na wanakwepaje mitego ya immigration.

Kuna siku nimeona clip mchina anauza hadi mapazia Kariakoo alipoenda Jafo na mapolisi eti kuwakamata , sasa unamkamata mtu ambaye aliingia kwa Visa ya utalii akaextend na kujipatia kibali cha kuendelea kukaa kwa kudanganya ni mwekezaji kumbe nae ni mchuuzi kama wazawa tu ?

Unaacha mfumo ule ule immigration unit ambayo ndii lango kuu na nyumba ya rushwa unafikiri utatatua tatizo.?
embu imagne
mtu anakosa ajira anaamua kujikusanya anaagiza/anaenda china
kisha wewe serikali unamleta/unampa mazingira mchina kuja kuuza bongo magauni??? kweli kwa kofia ya "muekezaji?"
kweli wakati wananch wako wanakuja kuwekewa ushindani wa kiwango kisichohimilika
 
Attachments

  • IMG_2658.png
    IMG_2658.png
    1.7 MB · Views: 6
embu imagne
mtu anakosa ajira anaamua kujikusanya anaagiza/anaenda china
kisha wewe serikali unamleta/unampa mazingira mchina kuja kuuza bongo magauni??? kweli kwa kofia ya "muekezaji?"
kweli wakati wananch wako wanakuja kuwekewa ushindani wa kiwango kisichohimilika
Naam hawa wahuni wamewashika CCM , wamewajengea na chuo pale Kibaha cha $ 40 M , utakuta humu wanasema hawategemei mabeberu halafu mchina ndio anagawiwa mapande , maana hatujui kilichomo katika hiyo $40M tuliyoambiwa ni msaada.

Back
Top Bottom