masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,576
- 20,183
- Thread starter
- #41
nitaisoma vizuriNaam hawa wahuni wamewashika CCM , wamewajengea na chuo pale Kibaha cha $ 40 M , utakuta humu wanasema hawategemei mabeberu halafu mchina ndio anagawiwa mapande , maana hatujui kilichomo katika hiyo $40M tuliyoambiwa ni msaada.
lakini
ingekua ni chama kingine kinapewa na chama kingine cha nje kiasi hicho cha pesa
nadhani unajua nini kingetokea
ni swala la muda tu ndani ya miaka mitabo ijayo
hadi maduka ya mangi watauza wachina na athari itakua kubwa sana
kwenye spear za pikpk sasa hivi watu wanalia