masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,576
- 20,183
zitarudiTunafikiria kurudisha kodi ya kichwa, kodi ya baisikeli na mikokoteni, kodì ya TV NA REDIO; KODI ya kufuga kuku, mbuzi, kondoo na ng'ombe mjini
Mnashaurije ???
Ni sawa tu mpaka akili zitukae sawa...Mnashaurije ???
AKili za kiccm ni mbofu mbofu...mtu anajitafuta unamwambia kuhusu tenda za serikaliWeka kispika au spika kutangaza biashara. Tengeneza magroup, na pages za mitandao ya kijamii kutangaza biashara.
Omba tender za serikali
Kama wafanya biashara wenyewe hawajionei huruma unataka vipi serikali iwaonee huruma? Kosa kubwa la sisi watanzania ni kudhani kulia-lia na kutaka kuonewa huruma ni sehemu muhimu ya maisha.nawaonea huruma sana vijana wanaombana kutafuta mtaji kujichanga kulipia frem
ni ngumu kutoboa
mlitutafuta kwenye mabango watu wakachomoa
now maandishi ya duka tu yalioko ukutani tena madogo unatakkwa kuyalipia
temeke ukifanya biashara kuna service levy
tra ya mwaka
bango(labda usiandike chochote)
taka (kwa lazima
ulinzi kwa lazima
Huruhusiwi kupack hata nje ya duka lako
so wateja watajua wenyewe pakupaki
aiseee hii serikali ionee huruma wafanyabiashara kama inavyoonea wasanii huruma
Endelea kuwa masikiniAKili za kiccm ni mbofu mbofu...mtu anajitafuta unamwambia kuhusu tenda za serikali
Muarabu yupo mbioni kurudisha kodi zote za kikoloni labda hayo mabango uandike kwa lugha ya kiarabu.nawaonea huruma sana vijana wanaombana kutafuta mtaji kujichanga kulipia frem
ni ngumu kutoboa
mlitutafuta kwenye mabango watu wakachomoa
now maandishi ya duka tu yalioko ukutani tena madogo unatakkwa kuyalipia
temeke ukifanya biashara kuna service levy
tra ya mwaka
bango(labda usiandike chochote)
taka (kwa lazima
ulinzi kwa lazima
Huruhusiwi kupack hata nje ya duka lako
so wateja watajua wenyewe pakupaki
aiseee hii serikali ionee huruma wafanyabiashara kama inavyoonea wasanii huruma