Naam hawa wahuni wamewashika CCM , wamewajengea na chuo pale Kibaha cha $ 40 M , utakuta humu wanasema hawategemei mabeberu halafu mchina ndio anagawiwa mapande , maana hatujui kilichomo katika hiyo $40M tuliyoambiwa ni msaada.
nitaisoma vizuri
lakini
ingekua ni chama kingine kinapewa na chama kingine cha nje kiasi hicho cha pesa
nadhani unajua nini kingetokea
ni swala la muda tu ndani ya miaka mitabo ijayo
hadi maduka ya mangi watauza wachina na athari itakua kubwa sana
kwenye spear za pikpk sasa hivi watu wanalia
Naam hawa wahuni wamewashika CCM , wamewajengea na chuo pale Kibaha cha $ 40 M , utakuta humu wanasema hawategemei mabeberu halafu mchina ndio anagawiwa mapande , maana hatujui kilichomo katika hiyo $40M tuliyoambiwa ni msaada.
Ukitaka kujua wachina kuteka Soko ni jambo la kimkakati,sasa hivi kupata Visa kwenda China imekua ngumu kwelikweli,sio kwamba hawatoi ila delay na foleni ubalozini Utakoma wewe now inachukua zaidi ya week 3 tofauti na zamani just ku process