Hadi Mama Dangote amekuja Mbao Tanzania, sijui anajenga ghorofa!

Hadi Mama Dangote amekuja Mbao Tanzania, sijui anajenga ghorofa!

Mbao Tanzania

Senior Member
Joined
May 31, 2021
Posts
170
Reaction score
215
Habari zetu kupitia JF zinafika mbali sana.

Ishukuriwe platform hii kwa kutusaidia kuonekana kupitia mijadala yenye tija hasa kwa sisi eneo letu la ujenzi na hamasa tunazopeana humu.

Tunapenda kuwajuza tu kuwa Mama Dangote ni miongoni mwa wateja wetu waliofika #MbaoTanzania kuchukua mzigo wa kutosha hivi karibuni. Tunaamini bila shaka taarifa zetu alikutana nazo humu na kuamua kutufungia safari. Siku akirudi tutamuuliza zaidi.

UMBEA KIDOGO

Sasa, kama inavyofahamika si kawaida kumdadisi mteja na ni vyema kutunza siri za wateja (na tunazitunza), lakini kiukweli imetufurahisha kuona Mama huyu amechukua mzigo wa kutosha kiasi cha kujiuliza anajenga ghorofa?

Yes, tunajua mama ni bosslady hapa mjini na tulishawahi kutambulishwa ni moja wa MDs wa Kampuni ya Wasafi. Je, kwa mzigo huu unadhani atakuwa anashusha mjengo wa aina gani, maeneo yapi?

JF ni jungu kuu. Tunasubiri ukoko!


 
Habari zetu kupitia JF zinafika mbali sana. Ishukuriwe platform hii kwa kutusaidia kuonekana kupitia mijadala yenye tija hasa kwa sisi eneo letu la ujenzi na hamasa tunazopeana humu.
Wabongo hawana ata shobo nae. 🤣🤣
 
Back
Top Bottom