Hadi Mama Dangote amekuja Mbao Tanzania, sijui anajenga ghorofa!

Hadi Mama Dangote amekuja Mbao Tanzania, sijui anajenga ghorofa!

Tuna tofauti kubwa ya kifalsafa na hatuwezi kuelewana. Labda makosa yangu nakupa kanuni katika ulimwengu wako usio na kanuni.

A million flies eat shit, they can't be wrong. Who am I to tell them otherwise?

Stage ya kujenga nyumba nilishamaliza miaka mingi sana.

Kutoka nyumbani Dar es salaam mpaka kimataifa New York City.

CONCEITED OLD MAN!
 
Ulishauriana na mwenyewe kwamba unataka kumtumia kwenye biashara zako?! What kama mwenyewe alikusudia iwe siri, na wewe umemwanika?
 
Tunajaribu kufafanua lakini inaonekana tayari mna majibu yenu. Basi sawa. Iwe hivyo.
Mimi mbona hamjanitangaza? Nilikuja ofisini kwenu, nikanunua mbao za kutosha tu. Mzigo wa milioni tatu na nusu, siyo kidogo hata kidogo! Lakini nyinyi mnakuja kumtangaza huyo Mama Dangote wenu.

Huu si ubaguzi wa wazi kabisa! Jina linasoma MZEE MGAYA! Na nilikuja na kijana wangu wa kazi anaitwa johnthebaptist, ni kadogo fulani hivi kafupi, na keusi tiii kama mkaa.
 
Hahahaaaa.........haya bhana!
 
Mwambie kile kipindi chao cha mgahawa amechemka sana kuweka wale vijana, uelewa wao wa mambo ni mdogo sana.
 
Mimi mbona hamjanitangaza? Nilikuja ofisini kwenu, nikanunua mbao za kutosha tu. Mzigo wa milioni tatu na nusu, siyo kidogo hata kidogo! Lakini nyinyi mnakuja kumtangaza huyo Mama Dangote wenu.

Huu si ubaguzi wa wazi kabisa! Jina linasoma MZEE MGAYA! Na nilikuja na kijana wangu wa kazi anaitwa johnthebaptist, ni kadogo fulani hivi kafupi, na keusi tiii kama mkaa.

Hahaha, mzee Mgaya kama uyasemayo ni kweli basi tutumie uthibitisho PM kisha tutakuja na uzi mahsusi wa kutambua wateja wetu ambao si watu maarufu katika jamii.

Kwa maneno mengine, tunawahitaji wote katika kuwaaminisha wenye mashaka kuhusu ubora wa huduma zetu lakini pia kuwapa hamasa wale ambao wanatarajia kuanza shughuli za ujenzi.
 
Hata mie ninejiuliza ,
Nasikia ulivamiwaga na majambazi daraja la mto Wami wakakupora gari lako Toyota Raum lenye namba T BLJ!!

Hivi ilikuaje kuaje mzee, mbona pale kuna Kambi ya jeshi pembeni
 
Tofauti na wauzaji wa mbao wengine ambao wao huzipaka dawa ili kuzuia kuliwa na wadudu, mbao zetu hatuzipaki dawa yoyote bali TUNAZICHEMSHA kabisa na dawa. Mbao zikipakwa dawa bado zinakuwa haziko salama dhidi ya wadudu kwa sababu dawa huishia juu juu tu, lakini zikichemshwa dawa inapenya hadi ndani kabisa.

Pia Mbao tunaouza zinatokea Mafinga kwenye baridi kali. Na zinatokana na miti komavu yenye asili ya ugumu. Ukitumia mbao hizi ni kama unaezekea chuma imara.

BEI ZETU

Futi 12
2×4 = 5,800
2×2 = 2,900
1×8 = 14,000
1×10 =17,000

Futi 20
2×4 = 750/
2×2 = 400
2×6 = 1200

Tunawakaribisha wadau wote wa Ujenzi yakiwemo makampuni na watu binafsi. Mzigo upo wa kutosha sana. Ukitaka mbao kwa ujenzi wa nyumba ya kawaida, ghorofa, kiwanda na hata miundombinu ZIPO!

Simu: 0782425190.
Mitandao Ya Kijamii: @MbaoTanzania

NB: Usafirishaji wa Mzigo wa Mbao ni BURE kwa Dar es Salaam.

mbaotz.jpg
 
Back
Top Bottom