Mbao Tanzania
Senior Member
- May 31, 2021
- 170
- 215
- Thread starter
-
- #41
Tuna tofauti kubwa ya kifalsafa na hatuwezi kuelewana. Labda makosa yangu nakupa kanuni katika ulimwengu wako usio na kanuni.
A million flies eat shit, they can't be wrong. Who am I to tell them otherwise?
Stage ya kujenga nyumba nilishamaliza miaka mingi sana.
Kutoka nyumbani Dar es salaam mpaka kimataifa New York City.
Umekatika, publicity is publicity😄.
Labda kama mmekubaliana kufanyiana promotion.
Shallow country bumpkin.CONCEITED OLD MAN!
Mimi mbona hamjanitangaza? Nilikuja ofisini kwenu, nikanunua mbao za kutosha tu. Mzigo wa milioni tatu na nusu, siyo kidogo hata kidogo! Lakini nyinyi mnakuja kumtangaza huyo Mama Dangote wenu.Tunajaribu kufafanua lakini inaonekana tayari mna majibu yenu. Basi sawa. Iwe hivyo.
Hahahaaaa.........haya bhana!Mimi mbona hamjanitangaza? Nilikuja ofisini kwenu, nikanunua mbao za kutosha tu. Mzigo wa milioni tatu na nusu, siyo kidogo hata kidogo! Lakini nyinyi mnakuja kumtangaza huyo Mama Dangote wenu.
Huu si ubaguzi wa wazi kabisa! Jina linasoma MZEE MGAYA! Na nilikuja na kijana wangu wa kazi anaitwa johnthebaptist, ni kadogo fulani hivi kafupi, na keusi tiii kama mkaa.
[emoji51][emoji51][emoji51] mkuu tunaongeza tu siku za kuishi. Maana hii nchi wananchi wake tumetawaliwa na misongo ya kutisha ya mawazo.Hahahaaaa.........haya bhana!
Mimi mbona hamjanitangaza? Nilikuja ofisini kwenu, nikanunua mbao za kutosha tu. Mzigo wa milioni tatu na nusu, siyo kidogo hata kidogo! Lakini nyinyi mnakuja kumtangaza huyo Mama Dangote wenu.
Huu si ubaguzi wa wazi kabisa! Jina linasoma MZEE MGAYA! Na nilikuja na kijana wangu wa kazi anaitwa johnthebaptist, ni kadogo fulani hivi kafupi, na keusi tiii kama mkaa.
Nasikia ulivamiwaga na majambazi daraja la mto Wami wakakupora gari lako Toyota Raum lenye namba T BLJ!!Hata mie ninejiuliza ,