PostGE2025 Hadi muda huu hotuba ya Samia kesho na wazee wa CCM Dar December 2 imeshaharibika. Gen Z watibua kila kitu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Apatikane kwanza huyo Rais mwingine atumie kwanza hiyo hiyo katiba iliyokuwepo awanyooshe nayo kwanza haya mafisadi baada ya hapo ndipo ibadilishwe
Wewe huna tofauti na polepole, aliyemsifia Magufuli, akalimwa na Samia.

Anaweza akapatikana Raisi mwingine akabadilika ghafla, madaraka yanalevya. Unajikuta Mungu mtu.

Na mambo yakabaki vilevile.
 
Kwani huoni watu wakiomba serikali ya mpito then katiba mpya..au hiyo katiba mpya itaoa
 
Ofisi zao ziko wapi?..wamefanya kikao wakachapa hii,au maria sarungi na Hilda Newton wamekaa wakachapa
Ofisi ili muwateke? Ama mlidhani hao Gen Z wataendelea kutumia mbinu outdated muwakamate. Kwenye ulimwengu huu wa ma Icloud, Google nk nani ana muda mchafu wa kwenda kushinda kwenye ofisi, na kuanza kuchapa taarifa na kuprint zipigwe mihuri? Mnadeal na kizazi cha sasa mno, hao kitengo cha cybersecurity huko serekalini wanaojifunza kuweka firewall, na kuinstall Kasper antivurus mtasubiri sana. Ofisi wanatumia wazee wa ccm, huko wanaishia kupiga majungu, ushirikina, hila, uongo na uzandiki. Kizazi cha sasa ni tofauti mno.
 
Mungu wako ni nani ?
 
Mtaweweseka sana, Mama la Mamama ndo huyoooo ndani ya dar kama kawaida yake........anachapa kazi.
 
Ofisi zao ziko wapi?..wamefanya kikao wakachapa hii,au maria sarungi na Hilda Newton wamekaa wakachapa
Usipitwe na wakati kijana dunia ilishaondoka kwenye mijiofisi ya kutunzia mapopo, genzee wapo ulipo na ofisi zao zipo online yani! Hivyooo!

Ofisi wabaki nazo sisiemu tu za kupigia mafweza ya umma japo nao washaamua kutumia tents
 
Kwa maslahi mapana ya nchi Samuya ateme Bungo ili nchi irudi sawa ,akiendelee kushupaza shingo ataua wazalendo wengi na nchi haitatawalika ,wanajeshi/polisi watakuwa busy sana na pia maendeleo yatakuwa hakuna maana fedha nyingi itaelekezwa kwa jeshi/polisi.
 
Kwenye hili suala emotions zinazidi logic.

Tatizo sio Samia.

Tatizo ni mfumo na katiba.

Vijana inabidi wapambane kudai katiba mpya na mfumo bora.
Wewe ni kama hata hujui una argue kitu gani

Ni wazi kuwa, wewe hata hujui uhusiano wa Rais Samia na hiyo katiba!!

Nikukumbushe tu kwa sentensi moja na rahisi tu, kwamba👇

Huwezi kuzichukua kondoo zinazochungwa na mchungaji kabla hujamteka kwanza mchungaji ndipo hapo uwaswage kondoo na kuondoka nao!!

Maana yake ni hii:

Kwa mfumo wetu wa utawala wa nchi ni kuwa, The President is the highest authority and all decisions originate from him/her

Huwezi kudai katiba mpya kama una Rais mwanamke mpuuzi, jeuri, mwenye kiburi, mkorofi na muuaji kama huyu bibi, aliyekwisha kukuambia kinagaubaga kabisa kuwa, katiba ni kijikaratasi tu!

The first thing to do is force her to make the decisions we want "katiba mpya yenye kibali cha wananchi.

If she becomes the barrier, then, the next step is to force her out of the 🏠 house so that to enable the rightful person to be there, the person who speaks people's language.
 
Shoga yangu pumzika kidogo
Unaruka huku na kule kama bisi za makumbusho, wakupe ubalozi hata ukapumzike maana sio kwa mihangaiko hii
Hana kazi hivyo anatumwa kujibu kila thread JF.

Kesha zoea utumwa hata akipewa ubalozi hatokubali, ataomba aendelee kukesha humu jf.
 
Kesho navaa kanzu naenda kama Mzee hapo mkutanoni
 
Rais ndio mdaiwa katiba mpya, kama hataki kukupa, njia pekee ni kudai/kuweka Rais mpya atakayekupa hiyo katiba mpya.
 
Utakosa vipi matumaini juu ya taifa hili na vijana wa namna hii!

Tanzania itainuka tena na kusonga mbele kwa heshima kubwa baada ya wahalifu hawa kuwajibishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…