PostGE2025 Hadi muda huu hotuba ya Samia kesho na wazee wa CCM Dar December 2 imeshaharibika. Gen Z watibua kila kitu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
vijana walinunuliwa😃

Hao Wazee sasa ndiyo wamenunuliwa. Ni aibu kwao kubebwa na vicoaster kwenda kubariki uharamia wakati wajukuu zao wameuawa na kupotea. Unless wanakwenda kiombwa msamaha na kupewa pole.
 
Ofisi zao ziko wapi?..wamefanya kikao wakachapa hii,au maria sarungi na Hilda Newton wamekaa wakachapa
Maswali ya hovyo kabisa!
Jenga hoja kuendana na hoja husika, kama huwezi basi kukaa kimya ni bisara.

Kwani yale maandamano ya 2910 yaliandaliwa kwenye ofisi gani hapa nchini!?

Halafu watu kama wewe msiokuwa na uwezo wa kufikiri kwa kina ndio Hangaya anawapenda wawe washauri wake.
Endeleeni kumdanganya #D9 atajua hajui.
 
Mbona halijasainiwa na m/kiti,katibu au msemaji wenu?
 
Acha upumbavu bwana usifikiri mtawafanya watu wote wajinga kwa wakati wote onyesheni mnaoatikana wapi na viongozi wenu ni kina nani hata kama ni nchi za nje mjulikane sivyo mtaonekana ni waharifu na vibaka acheni kujificha humu na kama mnaogopa mkionekana mtauwawa basi nyie siyo waoigania HAKI.

Watu wooote ulimwenguni wanaotafuta haki kwa njia halali kama ni kwa muda mfupi watajitokeza barabarani kwa wingi na kama ni kwa muda mrefu basi watakuwa na anwani na viongozi maalumu siyo brabra zako mjinga wewe,toka hadharani si unataka haki siyo kujificha jf
 
Rabaika
 
Ofisi zao ziko wapi?..wamefanya kikao wakachapa hii,au maria sarungi na Hilda Newton wamekaa wakachapa
Mkuu Gen Z are working from home... hapo ndio ofisi zao zilipo
 
Wewe huna tofauti na polepole, aliyemsifia Magufuli, akalimwa na Samia.

Anaweza akapatikana Raisi mwingine akabadilika ghafla, madaraka yanalevya. Unajikuta Mungu mtu.

Na mambo yakabaki vilevile.
Wanapaswa waone uchungu Wa hiyo katiba kwanza kabla haijabadilishwa
 
Umesoma vzr andiko lao??
Haujaona pendekezo la kuandika katiba mpya kabla ya kufanyika uchaguzi mwingine ulio huru & haki.
 
Yale yaliratibiwa kwa pamoja teki, chadema na akina maria
 
Sawa, umeshinda.
Tukutane #D9
 
Mbona hamkufanya hivyo kwa mkapa, kikwete na Magufuli?

Au sasa hivi ndio mmeshtuka usingizini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…